Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Breaking Nyuzzzzzz: Muhimbili yatangaza kusitishwa kwa huduma za MRI kwa muda


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KUSITISHWA KWA MUDA HUDUMA YA TRENI YA ABIRIA KWENDA BARA

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania – TRL unawataarifu abiria wote na wananchi kwa jumla  kuwa kutokana na kutetereka kwa  daraja la reli kati ya stesheni ya Ruvu na mchepuko wa reli ya Ruvu kwenda Mruazi usiku wa kuamkia leo, umeamua kusitisha kwa muda huduma ya usafiri wa abiria hadi ukarabati wa  daraja utakapokamilika.
Tokea asubuhi ya leo Mkurugenzi Mtendaji wa TRL Mhandisi Kipallo Aman Kisamfu na Wahandisi waandamizi na Mafundi ujenzi walifika katika daraja hilo lililopo km 82/5 na...

 

11 years ago

Michuzi

Taarifa ya KUSITISHWA KWA MUDA HUDUMA YA TRENI YA JIJI KUANZIA KESHO JUNI 19, 2014


 Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unasikitika  kuwataarifu wananchi na wateja wake  wa  huduma ya treni ya Jiji kuwa hiyo  imesitishwa kwa muda wa siku 3 kuanzia kesho Juni 19, 2014 hadi  Jumammosi Juni 21, 2014. Aidha huduma hiyo itaanza tena hapo Jumatatu Juni 23, 2014 kwa kufuata ratiba yake ya kawaida. Uamuzi huo unatokana na sababu za kiufundi ikiwemo kufanyiwa matengenezo vichwa vyote vya  viwili ambavyo vimekuwa vikihudumia treni hiyo ya Jiji. Vichwa hivyo vinapaswa...

 

10 years ago

Michuzi

KUSITISHWA KWA MUDA HUDUMA YA TRENI YA JIJI KUANZIA JUMATANO FEBRUARI 25, 2015 HADI JUMATATU MACHI 02, 2015

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unasikitika kutangaza kusitishwa kwa muda huduma ya treni ya Jiji  kuanzia leo  Jumatano jioni Februari 25 hadi  Jumatatu  Machi 02, 2015 itakapoanza tena.
Kwa mujibu  wa taarifa ya Uongozi wa TRL iliotolewa jioni  leo Februari 25,  2015 uamuzi wa kusitisha huduma hiyo umesababishwa  na vichwa  viwili vya treni hiyo kuharibika na kuhitaji matengenezo makubwa katika Karakana Kuu ya Morogoro .Taarifa imefafanua kuwa kwa vile kimebaki  kichwa kimoja...

 

9 years ago

Mwananchi

Muhimbili wasitisha tena huduma za MRI

Wiki moja baada ya kutengamaa kwa mashine ya uchunguzi wa magonjwa ya MRI (Magnetic Resonance Imaging), Hospitali ya Taifa Muhimbili imesitisha kutoa huduma hiyo jleo kutokana na kuharibika kwa kifaa  kimojawapo huku mashine ya CT Scan ambayo ni muhimu zaidi ikiwa bado haijatengamaa.

 

9 years ago

Mwananchi

Muhimbili haistahili pongezi kwa MRI kutengemaa

Uongozi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) ulitangaza kuwa mashine ya kuchukulia vipimo kwa nguvu ya sumaku (MRI), imepona baada ya kufanyiwa matengenezo na mafundi kutoka kampuni ya Phillips.

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZZ....: WANAOTUHUMIWA KWA UJAMBAZI WA SILAHA WATIWA MBARONI JIJINI DAR

Watuhumiwa wa Ujambazi wakiwa wamewekwa chini ya Ulinzi mara baada ya kutiwa mbaroni kwenye mataa ya Red cross katikati ya jiji Dar es salaam muda huu. inaelezwa kuwa Majambazo hao walimvamia na kumpora raia mmoja wa kigeni (Mzungu) maeneo ya Kinondoni na kufanikiwa kukimbia, lakini kumbe wakati wanafanya tukio hilo kuna raia aliwaona na alijitolea kuwakimbiza kwa gari na kuwanikiwa kuwablock maeneo hayo ya Red Cross ambapo huwa na askari wengi wa doria, wamekamatwa na bunduki mbili.

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya kumsimamisha kwa muda usiojulikana, Dec 28 Yanga yatangaza maamuzi magumu kwa Niyonzima …

Baada ya stori za muda mrefu kuhusu kiungo wa kimataifa wa Rwanda anayekipiga katika klabu ya Yanga Haruna Niyonzima, uongozi wa klabu hiyo December 28 umetangaza maamuzi mapya baada ya awali kutangaza kumsimamisha kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu. Yanga wamefikia maamuzi ya kuvunja mkataba na kiungo huyo, baada ya kukaa na kufikiria kwa […]

The post Baada ya kumsimamisha kwa muda usiojulikana, Dec 28 Yanga yatangaza maamuzi magumu kwa Niyonzima … appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani