Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge jipya, mzigo zaidi

Wakati ikisaka njia za kubana matumizi kuokoa fedha, Serikali ya Awamu ya Tano itakuwa na kazi ya kulipia gharama za uendeshaji zilizosababishwa na kuongezeka kwa wabunge 36 zaidi kwenye Bunge la Kumi na Moja lililopangwa kuanza Novemba 17 mjini Dodoma.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

BUNGE LITUNGE SHERIA AMBAZO HAZITAKUA MZIGO KWA WATANZANIA-MCHUNGAJI MSIGWA

Na Said Mwishehe, Michuzi TV.

MBUNGE wa Jimbo la Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa(CHADEMA),ameshauri Bunge kutunga sheria ambazo hazitakuwa mzigo kwa Watanzania.

Mchungaji Msigwa amesema hayo leo Juni 10,2020 Bungeni Mjini Dodoma wakati anachangania Muswada wa Marekebisho ya Sheria mbalimbali ambao umewasilisha Bungeni.

"Moja ya jukumu la msingi la Bunge ni pamoja na kusimamia utungwaji wa sheria,hivyo wabunge wanaowao wajibu wa kusimamia utungwaji wa sheria ambazo hazitakuwa za...

 

9 years ago

Mwananchi

Bunge jipya lisimamie vizuri Serikali

Bunge la Kumi na Moja la Jamhuri ya Muungano litasimikwa rasmi kuanzia Jumanne wakati litakapomchagua Spika, baadaye wabunge kuapishwa kabla ya kuridhia uteuzi wa Waziri Mkuu na siku inayofuata Rais kulihutubia.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mzee wa Kujitoa natamani liundwe Bunge jipya la Katiba!

UUUWIIII! Nasikia kuna  dalili kwamba wabunge wa Bunge Maalumu la Katiba wanaweza sasa kupewa likizo ya muda. Hayo si ya Mzee wa Kujitoa, nilimsikia mwenyewe kwenye vyombo vya habari Waziri...

 

11 years ago

Dewji Blog

London ndio jiji jipya la mabilionea duniani, ina mabilionea wengi zaidi ya New york na Moscow

london-690x388

Na Damas Makangale, Moblog Tanzania kwa Msaada wa Mtandao

JIJI la London limekuwa ndio nyumbani kwa mabilionea wakubwa kabisa duniani, kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na gazeti la Sunday Times. Tafiti inasema kwamba London in wakazi 72 ambao mali na utajiri wao ni zaidi ya dola 1.6 bilioni, zaidi ya Moscow (48) au New York (43) na hii ni mara ya kwanza kwa jiji hilo kuwa na mabilionea zaidi ya 100.

Mji mkuu wa Uingereza una mabilionea 104 (thamani ya utajiri wao jumla ya paundi 310...

 

11 years ago

Mwananchi

Siku 60 zaidi Bunge Maalumu la Katiba

Bunge Maalumu la Katiba limeomba kuongezewa muda wa siku 60 kuanzia Agosti 5, mwaka huu litakapokutana kwa ngwe ya pili, Mwananchi limebaini.

 

11 years ago

Habarileo

BUNGE LA KATIBA: JK akubali muda zaidi

Mwenyekiti wa Bunge Katiba, Samuel Sitta akisalimiana na Shekhe Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa bin Shaban Simba alipomtembelea ofisini kwake Kinondoni Dar es Salaam jana kuzungumzia mchakato wa katiba mpya. (Picha na Yusuf Badi).RAIS Jakaya Kikwete amekubali kuongeza muda wa Bunge Maalumu la Katiba katika mazungumzo aliyofanya na mwenyekiti wake, Samuel Sitta.

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge lahaha kusaka muda zaidi wa Bajeti

>Bunge la Bajeti la mwaka wa fedha wa 2014/15 linatarajia kufanya vikao vyake hadi saa mbili usiku pamoja na siku za Jumamosi ikiwa ni moja ya njia za kufidia siku 28 zilizopunguzwa kufanya vikao hivyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwingine awageuka wanaodai posho zaidi Bunge la Katiba

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba anayewakilisha kundi la wafanyakazi, Dotto Mashaka ametofautiana na wabunge wenzake na kusikitishwa na kelele zilizoibuka hivi karibuni za wabunge kulilia posho kuongezwa.

 

11 years ago

Michuzi

taswira zaidi toka bunge la katiba mjini dodoma leo

 Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba wakitoka Bungeni Mjini Dodoma leo baada ya Bunge hilo kusitishwa  kwa muda kufuatia Sintofahamu iliyotokea.  Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba Mhe Halima  Mdee   akitafakari baada ya wenzake kuondoka bungeni wakati Bunge hilo lilipositishwa  kwa muda mjini Dodoma leo  kufuatia sintofahamu iliyokea.   Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba Mhe Halima  Mdee   akitafakari baada ya wenzake kuondoka bungeni wakati Bunge hilo lilipositishwa  kwa muda mjini Dodoma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani