Bunge kusitishwa
KAMA mwenendo wa Bunge Maalumu la Katiba utaendelea kama linavyokwenda, uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu, unaweza kusogezwa mbele hadi mwakani.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Shinikizo la kusitishwa Bunge la Katiba
>Joto la kushinikiza kusitishwa kwa Bunge Maalumu la Katiba (BMK), linazidi kupanda nchini baada ya wabunge na vyama vya siasa kuendelea kusisitiza kuwa Bunge hilo halina tija kwa taifa.
10 years ago
Mwananchi07 Sep
Mnyika asisitiza Bunge la Katiba kusitishwa
>Wakati hatima ya Bunge Maalumu la Katiba ikisubiri mkutano wa Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TDC) kesho, Mbunge wa Ubungo John Mnyika amesema sala ambazo Watanzania wanatakiwa kuomba ili kikao hicho kiweze kuwa na mafaniko zigeuzwa, badala yake waombe kusitishwa Bunge hilo .
10 years ago
Mwananchi14 Sep
Tahliso wataka Bunge Maalumu kusitishwa
Jumuiya ya Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu (Tahliso) imesema itafanya maandamamo nchi nzima, endapo Bunge Maalumu la Katiba halitasitisha vikao vyake kama lilivyotakiwa.
11 years ago
BBCSwahili28 Dec
Ni vigumu kusitishwa vita Sudan K.
Msemaji wa Jeshi amesema kuna matumaini madogo ya kusitishwa kwa mapigano nchini Sudan Kusini kwa sasa.
11 years ago
Habarileo31 Mar
Njia 60 za daladala Dar kusitishwa
NJIA 64 za magari ya daladala jijini Dar es Salaam zitakoma kutumika kutokana na kuanza kwa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART).
10 years ago
BBCSwahili13 Feb
Mapigano kusitishwa Jumamosi Ukraine?
Viongozi wa mataifa ya Ulaya wamekubaliana kuiwekea vikwazo zaidi Urusi iwapo itashindwa kusimamia makubaliano mapya.
10 years ago
BBCSwahili11 Sep
Mchakato wa katiba kusitishwa Tanzania
Kumekuwa na maoni tofauti kufuatia hatua ya kusitisha mchakato wa kura ya maoni ya Katiba Mpya nchini Tanzania.
9 years ago
BBCSwahili30 Aug
Sherehe za Mswati zatakiwa kusitishwa
Utawala wa ufalme nchini Swaziland umetakiwa kufutilia mbali sherehe maarufu za kitamaduni baada ya wasichana kadha kuaga dunia
10 years ago
BBCSwahili16 Feb
Kusitishwa vita kwaleta nafuu Ukraine
Mpango wa kusitisha mapigano kati ya waasi na majeshi ya serikali ya Ukraine kumeleta nafuu mashariki mwa nchi hiyo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania