Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tahliso wataka Bunge Maalumu kusitishwa

Jumuiya ya Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu (Tahliso) imesema itafanya maandamamo nchi nzima, endapo Bunge Maalumu la Katiba halitasitisha vikao vyake kama lilivyotakiwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wataka posho Bunge Maalumu ipunguzwe hadi 170,000/-

WAKAZI wa wilaya za Tarime na Rorya mkoani Mara, wameshauri kupunguzwa kwa posho za wajumbe wa Bunge maalumu la Katiba kutoka Sh 300,000 hadi Sh 170,000 ambazo walisema ni za kawaida kwa vikao vya Bunge.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tahliso wataka mikopo 100%

JUMUIYA ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Tanzania (Tahliso), imeitaka serikali kutoa mikopo asilimia 100 kwa wanafunzi wote waliodahiliwa katika taasisi mbalimbali za elimu ya juu na kuondokana na dhana...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wamasai wataka uwekezaji kusitishwa Ngorongoro

 

DSC_0200

Kiongozi wa mila tarafa ya Ngorongoro, Augustino Pakai Olonyokei akizungumza na Meneja uendeshaji wa mtandao wa habari wa modewjiblog, Zainul Mzige aliyefika eneo hilo kwa ajili ya kuangalia miradi mbalimbali inayoendeshwa kusaidia jamii ya wafugaji wa kimasai hivi karibuni.

Na Mwandishi wetu, Ngorongoro

KIONGOZI wa mila tarafa ya Ngorongoro Augustino Pakai Olonyokei ameitaka serikali kusimamisha uwekezaji katika Mamlaka ya Ngorongoro ili kupunguza shinikizo la raslimali katika eneo...

 

10 years ago

StarTV

UKAWA wataka zoezi uandikishwaji wapiga kura kusitishwa.

Na Seda Elias,

Dar es salaam

 

Wakati tume ya uchaguzi ikiwa imeanza zoezi la uandikishaji wapiga kura kwa kutumia mfumo wa kieletroniki wa BVR, Umoja wa katiba ya wananchi, UKAWA, umemtaka Rais Jakaya Kikwete kutoa tamko la kusitisha zoezi hilo ili kusawazisha changamoto zinazojitokeza, ili na kuwezesha watanzania wengi kuandikishwa.

 

Ikiwa ni siku ya pili tu ya zoezi hilo, tayari kunatajwa baadhi ya changamoto ambazo ni pamoja na mashine za BVR kushindwa kuhimili hali ya joto, upungufu wa...

 

11 years ago

Habarileo

Bunge kusitishwa

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.KAMA mwenendo wa Bunge Maalumu la Katiba utaendelea kama linavyokwenda, uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu, unaweza kusogezwa mbele hadi mwakani.

 

11 years ago

Mwananchi

Shinikizo la kusitishwa Bunge la Katiba

>Joto la kushinikiza kusitishwa kwa Bunge Maalumu la Katiba (BMK), linazidi kupanda nchini baada ya wabunge na vyama vya siasa kuendelea kusisitiza kuwa Bunge hilo halina tija kwa taifa.

 

10 years ago

Mwananchi

Mnyika asisitiza Bunge la Katiba kusitishwa

>Wakati hatima ya Bunge Maalumu la Katiba ikisubiri mkutano wa  Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TDC) kesho, Mbunge wa Ubungo John Mnyika amesema sala ambazo Watanzania wanatakiwa kuomba ili kikao hicho kiweze kuwa  na mafaniko zigeuzwa, badala yake waombe kusitishwa Bunge hilo .

 

11 years ago

Habarileo

Wataka chombo maalumu kufumua mfumo dume

CHOMBO maalumu ni njia pekee ya kutatua kero za wanawake ambao kwa muda mrefu wamekandamizwa na mfumo dume hivyo kuwa nyuma kiuchumi na kiuongozi.

 

9 years ago

Habarileo

Wasioona wataka karatasi maalumu za kupigia kura

CHAMA cha Wasioona Tanzania (TLB), kimeomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuandaa karatasi maalumu za kupigia kura kwa wasioona ili kuondoa uwezekano wa mtu aliyeteuliwa kupiga kura kwa niaba ya asiyeona kumrubuni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani