Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BUNGE LAENDELEA KUJADILI TAARIFA YA LAAC

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma.Bunge la Bajeti  ,mkutano wa 19 kikao cha 38 limeendelea kujadili hoja ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za serikali za Mitaa[LAAC] kuhusu ripoti ya Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) huku serikali ikishauriwa kuanzisha chuo cha Wizi ili kukabiliana na ubadhilifu wa mali za umma.
Wakitoa michango ya maoni  mbalimbali  leo Mei,28,2020 juu ya Ripoti ya CAG iliyowasilishwa bungeni jijini Dodoma na kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Bunge laridhishwa na utendaji wa serikali, lapitisha taarifa za za Kamati ya Bajeti, Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Hesabu za Serikali (PAC), Miundombinu na Nishati na Madini.

 Na Hussein Makame, MAELEZO, DodomaKAMATI za Bunge za Serikali za Mitaa (LAAC) na ile ya Hesabu za Serikali (PAC), zimeridhishwa na mafanikio na hatua zilizochukuliwa na Serikali kwa kuongeza mapato yake na kushughulikia changamoto zinazoikabili katika kutekelza majukumu yake.

Kufuatia hali hiyo, Bunge limepitisha taarifa za kamati hizo na nyingine tatu, huku Serikali ikiahidi kufanyia kazi yale yote yaliyopendekezwa kwenye taarifa hizo ili kulipeleka Taifa kule kunakotakiwa.

Taarifa za Kamati...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA KATIBA NA SHERIA YAPOKEA NA KUJADILI TAARIFA YA BAJETI OFISI YA WAZIRI MKUU JIJINI DODOMA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, Mhe. Angella Kairuki akijibu hoja za Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria wakati walipowasilisha taarifa ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 pamoja na Makadirio ya mapato na matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021 kwa Mafungu sita (6) yaliyochini ya Ofisi hiyo leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mhe. Asha Abdalla Juma akizungumza...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA (LAAC) YANYOOSHEA KIDOLE HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU

Mwenyekiti wa kamati ndogo ya Bunge Hesabu za serikali za Mitaa(LAAC) Azza Hamad akizungumza wakati wa kikao na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Mbulu wakati kamati hiyo ilipotembelea halmashauri kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo.Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mbulu Michael Hadu akijibu hoja mbele ya kamati hiyo.
Wajumbe wa kamati ya Bunge ya Hesabu za serikali za mitaa (LAAC) wakiwa katika eneo ilipojengwa shule ya sekondari Singland kukagua ujenzi wa vyumba vya...

 

10 years ago

GPL

KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA(LAAC) YATEMBELEA SKIMU YA UMWAGILIAJI YA MANGORA WILAYANI KARATU

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa,(LAAC) ikitembelea kukagua mradi wa umwagiliaji wa Skimu ya Mang'ora wilayani Karatu. Baadhi ya Mashamba ya Vitunguu katika skimu ya umwagiliaji ya Mang'ora.…

 

9 years ago

Michuzi

BUNGE LA VIJANA LAENDELEA BUNGENI DODOMA

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia mradi wake wa kuwajengea Uwezo Wabunge na Watumishi (LSP) unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP kwa mara ya Pili mwaka huu limeratibu Bunge la Vijana kwa kushirikisha Wanafunzi zaidi ya 100 kutoka Taasisi za Elimu ya Juu hapa Nchi ambao ni viongozi katika Serikali zao. Bunge hilo ambalo limeanza Jumamosi tarehe 15 Julai, 2015 na linatarajiwa kumalizika tarehe 19 Julai 2015.
 Spika wa Bunge la Vijana kwa mwaka 2015...

 

11 years ago

Michuzi

Zoezi la kuapishwa wabunge wa bunge maalum la katiba mpya laendelea vyema mjini dodoma

 Mhe. Mchungaji Christopher Mtikila, akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya mjini Dodoma leo katika zoezi linaloendelea vyema . Mhe. Emmanueli Makaidi akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya  Mhe Tundu Lisu akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya Mhe Mkosamali  akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya. Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii, Dodoma

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA (LAAC) YABAINI MAPUNGUFU MAKUBWA UJENZI WA CHUO CHA UALIMU CHA AYALABEE WILAYANI KARATU


Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Karatu,Lazaro Titus akiongozana na Mwenyekiti wa kamati ndogo ya Bunge ya Hesabu za serikali za Mitaa kwenda kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo.Mwenyekiti akikagua jengo la Chuo cha Ualimu cha Ayalabee ambacho kinatajwa majengo yake kujengwa chini ya kiwango.Hili ndio jengo la Chuo cha Ualimu cha Ayalabee kama linavyoonekana sehemu ya Paa lake likiwa tayari limebinyea.Baadhi ya wananchi walipata fursa ya kutoa madukuduku yao kwa kamati juu ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Bunge Maalum la Katiba laendelea na mjadala wa Rasimu ya Katiba

PIX 1

Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiingia ndani ya Bunge hilo leo 10 Septemba, 2014 kwa ajili ya kuendelea na mjadala wa Rasimu ya Katiba.

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.

BUNGE Maalum la Katiba leo tarehe 10 Septemba, 2014 limeendelea na kazi yake ya kusoma na kujadili taarifa za Kamati mbalimbali Bungeni mjini Dodoma.

Baadhi ya mambo yaliyojadiliwa katika Bunge hilo ni pamoja masuala ya migogoro ya ardhi inayowahusisha wafugaji na wakulima, mambo ya Uraia pacha, haki ya...

 

10 years ago

Habarileo

Bunge, serikali kujadili BVR

Mwenyekiti wa Bunge, Mussa ZunguBUNGE limeingilia kati mchakato wa uandikishaji wapigakura kwa mfumo wa kielektroniki (BVR) chini ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kwa kuamua kujadili kile kilichoelezwa kwamba tume imekiuka makubaliano kwa kuanza mchakato bila kushirikisha vyama vya siasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani