Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge lapeta, wabunge waserebuka

KATIBA Inayopendekezwa kwa wananchi, imepatikana jana na kukamilisha sehemu kubwa ya mchakato wa mabadiliko ya Katiba, ulioanzia katika ukusanyaji wa maoni ya wananchi. Jumatano ijayo, Oktoba 8, Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, anatarajiwa kukabidhi katiba hiyo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein mjini Dodoma.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Wabunge Bunge la SADC wamchagua Mh. Makinda kuwa Rais mpya wa Bunge hilo

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akisoma hotuba yake ya shukrani kwa wajumbe wa Mkutano wa 36 wa Bunge la SADC ambao ni Maspika na Wabunge kutoka Mabunge ya nchi wanachama wa wa SADC baada ya kuchaguliwa kuwa Rais wa Bunge hilo kwa miaka miwili ijayo Mjini Victoria Falls, Zimbabwe. Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akielekezwa jambo na Katibu Mkuu wa Bunge la SADC Dkt. Esau Chiviya mara baada ya kukalia kiti cha Urais wa Bunge hilo baada ya kuchaguliwa rasmi kuwa rais wa Bunge hilo.Spika wa...

 

11 years ago

Michuzi

WABUNGE WA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) NA SAKATA LA KUTAKA KUMVUA MADARAKA SPIKA WA BUNGE HILO

Mwenyekiti wa Wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) wa Tanzania, Adam Kimbisa, akifafanua jambo wakati wa mkutano na  waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu sakata la kutaka kumvua madaraka Spika wa Bunge hilo. Kulia ni mbunge wa bunge hilo, Twaha Taslima na Katibu wa Wabunge wa EALA, Shy-Rose  Bhanji. Katibu wa Wabunge wa EALA, Shy-Rose  Bhanji akifafanua jambo wakati wa mkutano na  waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu sakata la kutaka kumvua madaraka...

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge wapigana ndani ya Bunge

Bunge la KenyaWABUNGE wa Bunge la Kenya, jana walizua tafrani baada ya kutofautiana katika mjadala wa Muswada wa Usalama, kiasi cha baadhi yao kupigana na kusababisha shughuli za Bunge kuahirishwa kwa muda.

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge saba watikisa Bunge

>Wabunge saba wamelitikisa Bunge tangu mkutano wa Bunge la Bajeti ulipoanza kutokana na michango yao binafsi.

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI : Kwaheri wabunge wa Bunge la 10

Rais Jakaya Kikwete kesho atalihutubia Bunge la 10 kwa mara ya mwisho ya uhai wa chombo hicho. Hotuba hiyo ya Rais ni muhimu mno kutokana na ukweli kwamba inahitimisha safari ndefu ya miaka mitano iliyowekwa kikatiba kwa wabunge kuwa wawakilishi wa wananchi katika Bunge hilo.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Kila la heri wabunge Bunge la 10

BUNGE la 10 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linamaliza muda wake wa kikatiba leo kwa kuvunjwa na Rais Jakaya Kikwete mjini Dodoma baada ya kudumu kwa takriban miaka mitano.

Leo itakuwa siku ya mwisho kwa wabunge kadhaa kuwapo mjini Dodoma wakiwa na wadhifa huo wa uwakilishi wa wananchi, kwani wote sasa wanalazimika kwenda majimboni kutetea nafasi hizo.

Ni kipindi kigumu ndani ya mioyo ya wengi lakini kwa wanaofahamu kwamba cheo ni dhamana, hiki ni kipindi muhimu kwao kujipima...

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge watano watikisa Bunge la 19

Wabunge watano wamelitikisa Bunge tangu mkutano wa 19 wa Bunge ulipoanza kutokana na michango yao binafsi katika mijadala ya miswada ya sheria mbalimbali iliyowasilishwa bungeni.

 

11 years ago

Habarileo

Wabunge wa Bunge la Katiba waaswa

WAJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba wameshauriwa kutokuwa watumwa wa kupokea maagizo ya vyama vyao vya siasa kwa hofu ya kupoteza madaraka, kwani wakifanya hivyo watakuwa hawatendei haki wananchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani