Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge lapitisha upigaji kura kwa fax, email

Bunge la Katiba limeingia katika historia baada ya kupitisha kanuni zinazoruhusu wajumbe wake watakaokuwa nje ya nchi kupiga kura kwa njia ya nukushi (fax) na baruapepe (email).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wataalamu: Kura kwa email, fax si salama

Hatua ya Bunge Maalumu la Katiba kupitisha upigaji kura kwa baruapepe (e-mail) na nukushi (fax) kwa wabunge ambao hawatakuwa bungeni, imetajwa na wataalamu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) kuwa si salama.

 

11 years ago

GPL

BUNGE LAPITISHA BAJETI YA SERIKALI KWA KURA ZA NDIO

Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya akijibu Hoja za Wabunge kabla ya Bunge kukaa na kupiga kura kuamua Bajeti ya serikali  kwa Mwaka 2014-015.
Wabunge wakimsikiliza Waziri wa fedha Mhe Saada wakati akijibu hoja za waheshimiwa Wabunge kabla ya zoezi la kupiga kura kwa ajili ya kupitisha…

 

11 years ago

Michuzi

Bunge lapitisha Bajeti ya Serikali kwa kura za ndiyo



 Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya akijibu Hoja za Wabunge kabla ya Bunge kukaa na kupiga kura kuamua Bajeti ya serikali  kwa Mwaka 2014-015.   Wabunge wakimsikiliza Waziri wa fedha Mhe Saada wakati akijibu hoja za waheshimiwa Wabunge kabla ya zoezi la kupiga kura kwa ajili ya kupitisha Bajeti ya serikali kwa mwaka 2014-2015.  Spika wa Bunge akiendesha kikao cha Bunge la Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2014-2015 akisaidiwa na Makatibu wa Bunge mbele yake wakati waziri wa Fedha...

 

10 years ago

Habarileo

Upigaji kura waendelea kwa amani na utulivu

WATANZANIA leo waliamka mapema na kuwahi katika vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kuchagua viongozi wao watakaoliongoza taifa lao katika kipindi cha miaka mitano ijayo.

Misururu mirefu imeonekana katika maeneo mengi ya nchi hususani katika jiji la Dar es Salaam, hali inayoonesha kuwa watu wajejawa na hamasa kubwa ya kuchagua kiongozi wao kama walivyokuwa wakijitokeza katika mikutano ya kampeni.

Watu wengi wamejitokeza katika vituo mapema kabisa leo alfajiri ambapo vituo vilifunguliwa...

 

5 years ago

CCM Blog

BUNGE LAPITISHA MAKADIRIO YA WIZARA YA MADINI KWA MWAKA WA FEDHA 2020/2021

Na.Faustine Gimu Galafoni,DodomaKatika  kutekeleza majukumu ya Wizara ya Madini kwa  Mwaka 2020/2021,  Bunge limeridhia  na kupitisha makadirio ya Jumla ya shilingi 62,781,586,000 kwa ajili ya Matumizi ya Wizara na Taasisi zake.

Akiwasilisha Bungeni jijini Dodoma April 21 ,2020   hotuba ya Makadirio Ya Mapato na Matumizi Ya Fedha Kwa Mwaka 2020/2021 Waziri wa Madini Mhe.Doto Mashaka Biteko alisema  Mchanganuo wa Bajeti hiyo ni kama ifuatavyo:-
 (i)Bajeti ya Maendeleo ni shilingi 8,500,000,000....

 

11 years ago

Michuzi

Bunge lapitisha Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kwa Mwaka 2014/2015

 Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda kushoto akiwa amempa mkono Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe Stephen Masele wakati akimpongeza mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kwa Mwaka 2014/2015.  Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda katikati akiwa akiwa ameshikana mikono  na Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Bw.Eliakim Maswi na  Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe Stephen Masele wakati akiwapongeza mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Wizara ya Nishati na...

 

10 years ago

Mwananchi

Zoezi la upigaji kura laenda kwa utulivu Dar

Hatimaye zoezi la upigaji kura  nchi nzima limeanza leo huku kukiwa na hali ya utulivu katika vituo vingi.

 

10 years ago

Michuzi

ZOEZI LA UPIGAJI KURA LAENDELEA KWA UTULIVU NA AMANI VISIWANI ZANZIBAR

 Baadhi ya Wananchi wakihakiki majina yao tayari kwa kupiga kura ya kuwachangua Marais, Wabunge, wawakilishi na Madiwani hapo katika kituo cha kupiga kura skuli ya Sekondari Kitope Wilaya ya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja.  Wananchi wakihakiki majina yao tayari kwa kupiga kura ya kuwachangua Marais, Wabunge, wawakilishi na Madiwani hapo katika kituo cha kupiga kura skuli ya Sekondari Kitope Wilaya ya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja.Baadhi ya Wananchi wakiwa katika foleni kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani