Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Burundi yachungulia hatua ya robo fainali CHAN

Bao la dakika za majeruhi la nyota Selemani Ndikumana lilitosha kuipa Burundi ushindi mbele ya Mauritania baada ya kuwachapa mabao 3-2 kwenye mchezo wa Kundi B wa michuano ya ubingwa wa Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani (Chan) uliofanyika juzi Jumamosi kwenye Uwanja wa Peter Mokaba, Afrika Kusini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SIMBA YATANGULIA ROBO FAINALI HATUA YA ROBO FAINAL MICHUANO YA AZAM SPORT FEDERATION CUP

Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya Jamii
TIMU ya soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam imefanikiwa kuingia hatua robo faina ya michuano ya Azam Sports Federation CUP baada ya kuibuka na ushindi kwenye mchezo wao wa leo dhidi ya Stand United.
Mchezo kati ya timu ya Simba na Stand United umepigwa katika dimba la Kambarage Shinyanga na hadi mpira huo unamaliza timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1 na hivyo kuingia hatua ya matuta.
Hatua hiyo ya matuta iliiwezesha Simba kushinda penalt 3 -2 ambapo kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Timu za Ikulu zaingia hatua ya robo fainali SHIMIWI mjini Morogoro

Na Eleuteri Mangi- MAELEZOKatibu wa Klabu ya Ikulu Ramadhani Bendera ameipongeza klabu yake kwa kufanya vizuri katika mashindano ya Shirikisho la Michezo ya watumishi wa Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) yanayoendelea mjini morogoro. Bendera alitoa pongezi hizo kwa klabu yake kufuatia ushindi waliopata katika michezo mbalimbali iliyochezwa leo katika uwanja wa Jamhuri. Timu za Ikulu zilizofanikwa kuingia hatua ya robo fainali za mashindano hayo ni timu ya mchezo wa mpira wa pete,...

 

11 years ago

Michuzi

KAGASHEKI CUP 2014: HATUA YA ROBO FAINALI KUANZA KUTIMUA VUMBI LEO KATIKA UWANJA WA KAITABA, MABINGWA WATETEZI BILELE FC KUANZA NA KAHORORO FC

Na Faustine Ruta, BukobaTimu nane zilizosonga mbele kwenye hatua ya Robo Fainali KAGASHEKI CUP 2014 leo zinaanza kuonyeshana ubabe kati ya Mabingwa Watetezi Bilele Fc na Kahororo Fc kwenye uwanja wa Kaitaba Bukoba mjini. Kwa ajili ya kuwania nafasi nne za kuingia hatua ya nusu fainali ya Ligi ya KAGASHEKI CUP Inayotarajiwa kuanza  wiki ijayo.  Timu ya Bakoba Fc ilipoteza na kutupwa nje kwenye Mashindano baada ya matokeo ya timu ya Kitendaguro kwenda vibaya katika hatua ya Makundi mtanange wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Baada ya michezo ya robo fainali ya Capital One, hii ndiyo ratiba ya michezo ya nusu fainali

Capital-One-Cup-1

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Michezo ya robo fainali ya kombe la Capital One la nchini Wingereza linaloshirikisha ligi za Daraja la kwanza, pili na timu zinazoshiriki ligi kuu ya Wingereza imekamilika kwa timu nne kufuzu kuingia hatua ya nusu fainali.

Matokeo ya robo fainali ilikuwa hivi;

Everton 2 – 0 Middlesbrough

Manchester City 4 – 1 Hull City

Stoke City 2 – 0 Sheffield Wednesday

Southampton 1 – 6 Liverpool

Baada ya michezo hiyo, ratiba ya michezo ya nusu fainali ni kama...

 

9 years ago

BBCSwahili

Morocco na Tunisia zafuzu kwa fainali za CHAN

Morocco walicharaza Libya 4-0 Alhamisi katika kanda ya Kaskazini ya kufuzu kwa fainali za CHAN ambazo zitachezewa nchini Rwanda mwaka ujao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal yatinga robo fainali FA

Arsenal imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali na kukomesha safari ya Middlesbrough kwa kuifunga 2-0.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mpambano wa robo fainali Brazil

Brazil dhidi ya Columbia, na Ujerumani ikikutana na Ufaransa. Ubelgiji dhidi ya Argentina na Uholanzi nao wanachuana na Costa Rica

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani