Burundi yashtakiwa Mahakama ya Afrika
SERIKALI ya Burundi imeburuzwa kwenye korti ya Afrika Mashariki (EACJ), kwa madai ya kukiuka haki za binadamu na utawala wa sheria. Inadaiwa kumnyang’anya pasi ya kusafiria Rais wa Chama cha...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog12 Sep
Kikwete amezitaka nchi za Afrika kuipa nguvu Mahakama ya Afrika ili iweze kusikiliza kesi za jinai
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wafanyakazi na viongozi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu mjini Arusha.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za binadamu Jaji Agustino Ramadhani wakizindua kitabu cha taarifa za msingi kuhusu mahakama hiyo kwenye Ukumbi wa Kibo kwenye majengo ya Mahakama hiyo mjini Arusha.Rais Kikwete alitumia fursa hiyo kuagana na viongozi na wafanyakazi wa mahakama hiyo.
Na Mahmoud Ahmad, Arusha
Rais Jakaya Kikwete...
11 years ago
Mwananchi28 Feb
Burundi yaburutwa Mahakama ya EAC
10 years ago
BBCSwahili15 Dec
Agathon Rwasa apuuza mahakama Burundi
10 years ago
Mwananchi31 May
Ripoti ya uamuzi wa mahakama Burundi yakamilika
5 years ago
CCM Blog13 Jun
MAHAKAMA YAAMURU RAIS MTEULE WA BURUNDI AAPISHWE HARAKA
![Mrithi wa Nkurunzinza](https://ichef.bbci.co.uk/news/660/cpsprodpb/9585/production/_112877283_00ceb8b9-4f37-4548-947d-f7fae68369e6.jpg)
10 years ago
BBCSwahili15 Apr
Kampuni ya Google yashtakiwa
9 years ago
BBCSwahili25 Nov
Faragha:Facebook yashtakiwa Ubelgiji
9 years ago
BBCSwahili30 Dec
Facebook yashtakiwa kwa kuhodhi taarifa za fedha
9 years ago
Mtanzania09 Nov
Babu Seya atua Mahakama ya Afrika
*Awasilisha hoja tatu, alia na Serikali kuvunja sheria
*Asimulia jinsi alivyoteswa alipokuwa mahabusu
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
HATIMAYE mwanamuziki, Nguza Viking maarufu kama Babu Seya na mwanae, Johnson Nguza ‘Papii Kocha’, wametua katika Mahakama ya Haki za Binadamu Afrika (AFCPHR) Arusha.
Wanamuziki hao wamekata rufaa dhidi ya adhabu waliyohukumiwa mwaka 2004 ya kutumikia kifungo cha maisha gerezani.
Kupitia shauri lao lililowasilishwa mahakamani na kupewa namba 006/ 2015, wanaiomba...