Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Burundi:Afisa wa tume ya uchaguzi atoroka

Afisa mmoja tume hiyo ya uchaguzi ameiambia redio moja ya Ufaransa kuwa Spes Ndironkeye aliabiri ndege Ijumaa na kuondoka Burundi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Afisa wa tume ya uchaguzi Burundi atoroka.


Afisa mmoja tume hiyo ya uchaguzi ameiambia redio moja ya Ufaransa kuwa Spes Caritas Ndironkeye aliabiri ndege ijumaa

Nia ya rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kuwania muhula wa tatu imepata pigo baada ya ripoti kutoka nchini humo kudai kuwa mwenyekiti msaidizi wa tume ya uchaguzi ametoroka.

Afisa mmoja tume hiyo ya uchaguzi ameiambia redio moja ya Ufaransa kuwa Spes Caritas Ndironkeye aliabiri ndege ijumaa na haijulikani kama alijiuzulu au la.

Tume hiyo ya uchaguzi ina maafisa wakuu watano na...

 

10 years ago

GPL

MWENYEKITI MSAIDIZI WA TUME YA UCHAGUZI YA BURUNDI ATOROKA

Mwenyekiti Msaidizi wa Tume ya Uchaguzi ya Burundi anayedaiwa kutoroka, Spes Caritas Ndironkeye. Nia ya rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kuwania urais wan chini humo kwa muhula wa tatu imezidi kuigharimu nchi hiyo baada ya ripoti kutoka nchini humo zikidai kuwa Mwenyekiti Msaidizi wa Tume ya Uchaguzi ya Burundi ametoroka na hajajulikana alipo. Ofisa mmoja wa Tume hiyo ameiambia redio moja ya Ufaransa kuwa, Spes Caritas...

 

10 years ago

BBCSwahili

Makamu wa rais Burundi atoroka

Makamu wa rais wa Burundi ametoroka baada ya kutangaza kupinga rais wa nchi hiyo Pierre Nkurunziza kuwania muhula wa tatu.

 

10 years ago

GPL

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA BURUNDI ATOROKA

Makamu wa Pili wa Rais wa Burundi anayedaiwa kutoroka nchini humo, Burundi Gervais Rufikiri. Rais wa Burundi, Pierre Nkurunzinza. Moja kati ya makamu wa rais wa Burundi anadaiwa kutoroka nchini humo baada ya kutangaza kuwa anapinga hatua ya rais wa nchi hiyo Pierre Nkurunziza kuwania urais kwa muhula wa tatu. Makamu wa pili wa Rais wa Burundi Gervais Rufikiri amekimbia… ...

 

10 years ago

GPL

JAJI WA KORTI YA KIKATIBA ATOROKA BURUNDI

Machafuko nchini Burundi. Jaji ambaye ni Makamu wa rais wa mahakama ya katiba nchini Burundi anaripotiwa kuondoka nchini humo kabla ya kutolewa kwa uamuzi iwapo ni halali kwa rais wan chi hiyo kugombea muhula wa tatu. Jaji Sylvere Nimpagaritse aliliambia shirika la habari la Ufaransa kuwa, mahakama ilikuwa imekabiliwa na shinikizo vikiwemo vitisho vya kuuawa ili kuweza kuidhinisha hatua ya rais Pierre Nkurunzia kuweza kusallia...

 

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Burundi 2020: Vurugu na mauaji yakumba kampeini za uchaguzi Burundi

Polisi nchini Burundi wamesema kuwa wamewakamata watu wapatao 64 kutoka chama kikuu cha siasa cha CNL, kumekuwa na ghasia pamoja na mauaji dhidi ya wanachama wa chama kikuu katika kampeni za kuelekea uchaguzi mkuu wa rais tarehe 20 Mei.

 

10 years ago

Michuzi

UCHAGUZI WA SERIKALI YA MTAA WA MIGOMBANI WAINGIA KWIKWI BAADA YA AFISA MTENDAJI WA KATA YA SEGEREA KUJA KUTANGAZA KUSITISHA UCHAGUZI

Na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog.Hali ya kushtusha imetokea katika uchaguzi wa Serikali ya Mtaa wa Migombani  baada ya Afisa Mtendaji  kufika  na kutangaza kimyakimya Kuwa UChaguzi huo umesitishwaMara baada ya wakazi wa mtaa wa migombani kusikia ndipo walipoanza sasa kutafuta mchawi na kumtia nguvuni afisa mtendaji huyo wa mtaa kwa kutaka kujua sababu za msingi zinazopelekea yeye kuja kutangaza kusitisha uchaguzi huo.Afisa mtendaji huyo baada ya kuulizwa sababu za msingi alijitetea kuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

UCHAGUZI WA SERIKALI YA MTAA WA MIGOMBANI WAINGIA KWIKWI MARA BAADA YA AFISA MTENDAJI WA KATA YA SEGEREA KUJA KUTANGAZA KUSITISHA UCHAGUZI

Wakazi wa Mtaa wa Migombani, Uliopo Katika kata ya Segerea Manispaa ya Ilala Jijini Dar Es Salaam wakiwa wamelizunguka gari la Afisa Mtendaji wa Kata ya Segerea aliyefika majira ya saa tisa kamili mchana huu na kutangaza kusitisha uchaguzi wa serikali ya mitaa kimya kimya.Afisa Mtendaji wa Kata ya Segerea (katikati mwenye shati la draft) akiwa kawekwa mtukati mara baada ya kuja na kutaka kusitisha uchaguzi bila sababu ya msingi. waliomzunguka ni wakazi wa mtaa wa segerea wakimuhoji afisa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani