BVR yachemsha mkoani Mbeya
 Wakati viongozi wa vyama vya upinzani wakieleza hofu ya Uchaguzi Mkuu kuahirishwa, Tume  ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesitisha mchakato wa kuandikisha wapigakura mkoani Mbeya uliopangwa kufanyika kuanzia Mei 5 hadi itakapotangazwa tena.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziKAMANDA WA POLISI MKOANI MBEYA AFANYA UKAGUZI WA KUSHTUKIZA STENDI KUU YA MABASI MBEYA.
Katika ukaguzi huo alikuta Mabasi matatu ya abiria yenye namba za...
11 years ago
Dewji Blog27 Aug
Mbeya yetu Blog waanza kutembelea na kutangaza vivutio vya kitalii mkoani Mbeya, wakianzia na Kijungu
Baada ya kuona kuwa kuna maeneo mbalimbali ya vivutio vya kitalii muhimu na ambavyo vimesahaulika kwa njia moja au nyengine na pengine hakuna pa kuvitangaza ili watanzania na Dunia kwa ujumla wapate kuvifahamu kwa ukaribu , Tone Multimedia Group kupitia mtandao wake wa Mbeya yetu Blog wameamua kuanza rasmi kuvitembelea na kutangaza kwa Jamii kwa ujumla wapate kuvifahamu ili nao waje kuvitembelea.
Safari hiyo ambayo moja kwa moja ilianzia Mkoa wa Mbeya Wilaya ya Rungwe-Tukuyu kwenda...
11 years ago
Michuzi25 Aug
MBEYA YETU BLOG WAANZA KUTEMBELEA NA KUTANGAZA VIVUTIO VYA KITALII MKOANI MBEYA , WAKIANZIA NA KIJUNGU
Safari hiyo ambayo moja kwa moja ilianzia Mkoa wa Mbeya Wilaya ya Rungwe-Tukuyu kwenda kujionea...
10 years ago
TheCitizen21 May
Voters registration in Mbeya kicks off with delays, BVR technical faults
10 years ago
Habarileo06 May
Dar yachemsha BRN darasa 7
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki amesema hakuna wilaya katika mkoa huo iliyofikia malengo ya Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) kwa Darasa la Saba.
10 years ago
Mwananchi09 Jul
TFF yachemsha kwa Messi, Banda, Okwi
10 years ago
Dewji Blog09 Jul
Zoezi la uboreshwaji daftari la wapigakura laendelea mkoani Pwani, Rais Jakaya Kikwete ajiandikisha kupiga kura kwa kutumia BVR kijijini Msoga

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa kutumia mfumo mpya wa kielektoniki(Biometric Voters Register( BVR) katika kijiji cha Msoga,kata ya Msoga wilayani Bagamoyo jana.Kulia akiangalia kwa makini ni mwandikishaji msaidizi Bi.Happyness Thomas Misana na katikati ni Afisa TEHAMA kutoka ofisi Tume ya Taifa Uchaguzi Bi.Mariam Rajabu.Kushoto aliyesimama akishuhudia ni Mbunge wa Chalinze Ridhwani Kikwete.

Afisa TEHAMA kutoka ofisi ya Tume ya...
11 years ago
GPL
AJALI YA MALORI MKOANI MBEYA
10 years ago
VijimamboTUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUANZA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU WAPIGA KURA RASMI KWA MFUMO WA BVR MKOANI KAGERA KUANZIA MEI 21 HADI JUNI 18, 2015
Zoezi la uzinduzi litaongozwa na Mkuu wa mkoa wa Kagera Mhe. John Mongella katika mtaa wa Pwani eneo la uwanja wa ndege wa Bukoba kata ya Miembeni Manispaa ya Bukoba. Uzinduzi huo utafanyika katika Halmashauri zote za wilaya siku hiyo ya...