Bwana Misosi akanusha taarifa za kuacha muziki
Hitmaker wa ‘Nitoke Vipi’, Bwana Misosi amekanusha taarifa kuwa ameacha muziki. Misosi ameiambia Bongo5 kuwa hajui nani aliyesambaza taarifa hizo ambazo nasi tuliziandika. “Unajua hizo habari hata mimi nimezisikia na nimekuwa nikipigiwa simu sana kuwa nimetangaza kuacha muziki,” amesema. “Hizo habari sio za kweli na sijui nani amezisambaza. Hapa sasa hivi navyoongea na wewe nipo […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo527 Aug
Besta akanusha kumpoteza Marlaw kwenye muziki
9 years ago
Bongo509 Dec
Hussein Machozi atangaza kuacha muziki!
![hussein_machozi](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/hussein_machozi-300x194.jpg)
Hussein Machozi ametangaza uamuzi wake wa kuacha kufanya muziki kutokana na kuona kwamba hakuna faida yoyote anayoipata kupitia muziki kwa muda mrefu .
Machozi ambaye jina lake halisi ni Hussein Rashid ni msanii wa Bongo fleva wa muda mrefu ambaye amewahi kutengeneza hits kadhaa ikiwemo ‘Kwaajili Yako, ‘Utaipenda’, Full Shangwe, na zingine.
Hussein ametangaza uamuzi huo kupitia Planet Bongo ya East Africa radio.
“Kubwa ambalo nataka niwasimulie Watanzania ambalo ninalo leo hii kwamba very...
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Nyota aliyeamua kuacha chuo akafanye muziki
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8XZ9tNduvb0-EsxdUUQQk25CNfMA1txMxQRfhDF-av5xEe7hD3l3owqv5SDnXTYzbGJpk-mA4xfwIHo-H3HmEmMMVh0nGzsJ/MADAHA.jpg?width=650)
BABY MADAHA ATANGAZA KUACHA MUZIKI, FILAMU
9 years ago
Bongo520 Aug
Avril kurekodi wimbo na Christina Shusho? akanusha kuingia kwenye muziki wa injili
10 years ago
Bongo519 Sep
Peter Msechu: Kauli kuhusiana na kuacha muziki ilitaka kunigharimu
9 years ago
Bongo521 Dec
Lady Gaga alihofia ustaa ungemuua, alitaka kuacha muziki
![lady_gaga-jpg](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/lady_gaga-jpg-300x194.jpg)
Lady Gaga aliwahi kuhofia kuwa ustaa wake ungemuua.
Muimbaji huyo mwenye miaka 29 mwaka jana alifikiria kuachana na muziki kwasababu maisha aliyokuwa akiishi alihofia yangepelekea kupoteza maisha.
Akiongea na jarida la Billboard, muimbaji huyo alisema:
At the end of 2014, my stylist asked, ‘Do you even want to be a pop star anymore?’ I looked at him and I go, ‘You know, if I could just stop this train right now, today, I would. I just can’t. But, I need to get off now because I’m going to...
10 years ago
Bongo Movies12 Mar
Aunt Ezekiel Akanusha Taarifa za Kujifungua
Baada ya kuzagaa taarifa za staa wa filamu nchini Aunt Ezekiel kujifungua, mwanahabari wa GPL ametia timu nyumbani kwa Aunt na kujiridhisha pasipo na shaka kuwa mrembo huyo bado yu mjamzito na taarifa za kujifungua si za kweli.
Mitandao mbalimbali ya kijamii imeripoti taarifa za Aunt kujifungua kuanzia jana huku mingine ikimpongeza na kuweka kipande cha video kinachomuonyesha mwigizaji huyo akiwa ammbeba mtoto mchanga.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, Aunt Ezekiel jana aliweka kipande...