Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


C-SEMA , TAJOC WAJADILI ULINZI MTOTO

 Afisa Mtendaji Mkuu wa C-SEMA, Kiiya Kiiya akizungumza na Waandishi wa Habari za Watoto (TAJOC) na Wadau Watunga Sera katika kampeni Nijali Mtoto wa Tanzania iliyofanyika Jijini Dar es Salaam.Mshauri Mwandamizi wa Kituo cha Huduma ya Simu kwa Mtoto wa C-SEMA, Thelma Dhaje akizungumza na Waandishi wa Habari za Watoto (TAJOC) na Wadau Watunga Sera katika kampeni Nijali Mtoto wa Tanzania iliyofanyika Jijini Dar es Salaam.Wadau wa Watoto wakiwa katika picha ya pamoja jijini Dar es Salaam.
Na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Wajadili sera ya mtoto gerezani

WADAU mbalimbali wamekutana kujadili rasimu ya sera ya Jeshi la Magereza ya ulinzi wa mtoto anapokuwa gerezani kwa lengo la kutoa maboresho yao.

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Mtanzania

Mtoto albino azikwa chini ya ulinzi

Joseph KonyoNa Benjamin Masese, Geita
MABAKI ya mwili wa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Yohana Bahati (1) ambaye alitekwa Februari 16, mwaka huu na kuuawa kwa kukatwa mikono na miguu, jana yalizikwa kaburini chini ya ulinzi mkali wa polisi.
Mazishi ya mtoto huyo yalifanyika saa tisa alasiri katika Kijiji cha Ilelema, Wilaya ya Chato, mkoani Geita, huku polisi wakiwa wameimarisha ulinzi.
Mabaki ya mwili wa mtoto huyo yalipelekwa kwanza nyumbani kwa babu yake, Misalaba Manyamche, saa sita mchana kabla ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

TCEMN yataka ulinzi kwa mtoto wa kike

WAKATI nchi ikiwa inaelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa Desemba, mwaka huu, ulinzi kwa mtoto wa kike umetakiwa kuwa ajenda ya wanasisasa katika kampeni zao. Hayo yalisemwa jana na...

 

10 years ago

Mwananchi

Maziko ya mtoto albino kufanyika chini ya ulinzi mkali

>Mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Yohana Bahati (1), aliyetekwa juzi katika Kijiji cha Ilelema, wilayani Chato mkoani Geita na kuokotwa katika Hifadhi ya Biharamulo akiwa amekufa bila mikono wala miguu, atazikwa leo saa 5 asubuhi katika Kijiji cha Ibondo, mkoani Geita chini ya ulinzi mkali wa polisi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wiki ya ulinzi na usalama wa mtoto februari 9 — 15 mwaka huu

3

Baadhi ya watoto wanaoishi katika mazingira hatarisha.

PRESS RELEASE WIKI YA ULINZI NA USALAMA WA MTOTO.pdf by moblog

 

11 years ago

Michuzi

Tume ya Haki za Binadamu na utawala Bora yaagana na Mtaalamu wa masuala ya ulinzi wa mtoto kutoka UNICEF

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora leo yafanya hafla fupi ya kuagana na mtaalamu wa masuala ya ulinzi na haki za watoto wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) ofisi ya Tanzania Bi Rachel Harvey ambaye anahamia nchini Nigeria anakokwenda kuwa mkuu wa Kitengo cha kutetea na ulinzi wa haki za watoto.
Bi Rachel amekuwa akifanya kazi karibu na Tume katika kipindi chote cha miaka mine (4) aliyokuwa nchini, baadhi ya kazi alizofanya akiwa na Tume ni pamoja na kuratibu kazi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani