Wiki ya ulinzi na usalama wa mtoto februari 9 — 15 mwaka huu
Baadhi ya watoto wanaoishi katika mazingira hatarisha.
PRESS RELEASE WIKI YA ULINZI NA USALAMA WA MTOTO.pdf by moblog
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi07 Feb
10 years ago
Michuzi07 Feb
11 years ago
Dewji Blog07 Apr
TANROADS Singida yatumia zaidi ya sh 5.1 B kutengeneza barabara zake Julai mwaka jana na februari mwaka huu
Mkuu wa mkoa wa Singida na mwenyekiti wa bodi ya barabara, Dk.Parseko Vicent Kone, akifungua kikao cha bodi ya barabara cha 36 kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa VETA mjini Singida. Kulia (aliyekaa) ni katibu tawala mkoa wa Singida,Liana Hassan.
Meneja wa wakala wa barabara mkoa wa Singida (TANROADS), Mhandisi Yustaki Kangole, akitoa ufafanuzi juu ya sheria zinazotawala akiba/hifadhi ya barabara kwenye kikao cha 36 cha bodi ya barabara mkoa wa Singida.
Mbunge wa jimbo la...
10 years ago
GPLMAADHIMISHO YA WIKI YA ULINZI NA USALAMA KWA WATOTO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3I-9LvQkoORSGJBhpIG6uCjboMYKY2zp0DSUul0a4xHDfsTZFMJGIeqtNunWukue6t2ZCwdj9wcJqViKMrEBvWNa5yYAjCNJ/amir.jpg)
UCHAGUZI MKUU TASWA KUFANYIKA FEBRUARI 16 MWAKA HUU
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-At0XNkgOVvI/Xst72Sdp91I/AAAAAAALrdo/ie5QqMyT8R4seSG3imba15M-yjqYZdzQgCLcBGAsYHQ/s72-c/1cfbb567-15bd-4663-939e-27dd9d676fd0.jpg)
Shirika la World Vision Tanzania jijini Arusha latoe elimu ya kujikinga na Corona,Ulinzi na usalama wa mtoto wa kike katika vijiji 32
Shirika la World Vision Tanzania,Mkoani Arusha limetoa elimu ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona iliyoenda sambamba na ulinzi na usalama wa mtoto wa kike katika vijiji 32 Wilayani Longido.
Akizungumza na waandishi wa habari Wilayani humo mratibu wa Kitumbeine DP, Bi.Peruth Daudi alisema kuwa katika suala la uhamasihaji jamii juu ya COVID-19 wameweza kufikia vijiji 19 vilivyomo ndani ya Mradi huo huku vijiji 13 vikiwa nje ya mradi ambavyo navyo vimeweza...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-pbK2WEx0ZdM/Xnt0yn-xwhI/AAAAAAALlB4/KyjI8xt9ETkxciN80ezGZo7wXZXV9gKywCLcBGAsYHQ/s72-c/Picha%2B1.jpg)
KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA YAPITIA MAPENDEKEZO YA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KWA MWAKA WA FEDHA 2020/21 KILICHOFANYIKA JIJINI DODOMA LEO
![](https://1.bp.blogspot.com/-pbK2WEx0ZdM/Xnt0yn-xwhI/AAAAAAALlB4/KyjI8xt9ETkxciN80ezGZo7wXZXV9gKywCLcBGAsYHQ/s640/Picha%2B1.jpg)
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Katikati), Katibu Mkuu, Christopher Kadio (Kulia) na Naibu klatibu Mkuu, Ramadhani Kailima (Kushoto) wakizungumza kabla ya kuanza Kikao Cha Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama. Wizara hii imewasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2020/21 katika Kikao kilichofanyika Jijini Dodoma leo.
![](https://1.bp.blogspot.com/-wDvsc-57EWo/Xnt0y8s_BjI/AAAAAAALlCA/hcqW-2O4u5gjJiXyPPUaB3i5B0apD3lcgCLcBGAsYHQ/s640/Picha%2B2.jpg)
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Kushoto), Katibu Mkuu, Christopher Kadio...
10 years ago
Bongo518 Dec
2014 Forest Hills Drive ya J.Cole yawa album ya hip hop iliyouza zaidi kwenye wiki ya kwanza mwaka huu