Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CAG kuchunguza mfuko wa jimbo

Waziri wa Fedha na Uchumi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Omar Yussuf MzeeWAZIRI wa Fedha na Uchumi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Omar Yussuf Mzee amemwagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kuchunguza matumizi ya fedha za mfuko wa jimbo, baada ya kubainika kukiukwa kwa sheria na kanuni za matumizi ya fedha hizo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

CAG amaliza kuchunguza Sh bilioni 10 za safari

OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imemaliza kazi ya ukaguzi maalumu katika matumizi ya mabilioni ya shilingi katika Mamlaka ya Bandari (TPA). Akizungumza Dar es Salaam jana, Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe alisema CAG amemaliza kazi yake na kukabidhi ripoti.

 

10 years ago

Habarileo

Silinde akiri kukalia fedha za mfuko wa jimbo

MBUNGE wa Mbozi Magharibi, David Silinde (Chadema)MBUNGE wa Mbozi Magharibi, David Silinde (Chadema) anadaiwa kuzuia kutumika fedha zaidi ya Sh milioni 46 za Mfuko wa jimbo hilo kwa shughuli za maendeleo, ili kuzitumia kwenye kampeni za ubunge.

 

11 years ago

Mwananchi

Halmashauri sita zakiuka masharti ya Mfuko wa Jimbo

>Pamoja na Sheria ya Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo (CDTF), kuweka sharti la miradi itakayotekelezwa iibuliwe na wananchi, halmashauri sita nchini zimebainika kukiuka.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbunge wa Bahi katika kashfa ya Mfuko wa Jimbo

>Mbunge wa Bahi(CCM), Omar Badwel ameingia katika kashfa baada ya Kamati ya Uhakiki wa Fedha za Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo kubaini matumizi mabaya ya fedha hizo.

 

10 years ago

Michuzi

Mfuko wa Pensheni wa PSPF Wakabidhi Msaada kwa Wananchi wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar.

 Ofisa wa Mfuko wa Pensheni PSPF Tawi la Zanzibar Hazina Konde akimkabidhi msaada wa Magogoro Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe Ame Perera kwa ajili ya Wananchi waliopata maafa ya mvua na kuharibikiwa na mali zao, makabidhiano hayo yamefanyika katika viwanja vya skuli ya mabanda ya ngome chumbini Zanzibar. OFISA wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Tawi la Zanzibar Hazina Konde akitowa maelezo kwa niaba ya Mkufugenzi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi msaada wa...

 

5 years ago

CCM Blog

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF) KWA MWAKA 2015/16 — 2018/19

Mfuko ulianzishwa kwa sheria namba 16 ya mwaka 2009 iliyotungwa na bunge na kupitishwa tarehe 21 Agost 2009. Mfuko utaitwa Mfuko wa Kuchochea Maendeleo ya Jimbo - Constituencies Development Catalyst Fund (CDCF).Lengo la mfuko huu ni miradi ya maendeleo kwenye kila jimbo la Uchaguzi, kwa hiyo itapokea fedha na kuchangia kwenye miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwenye Jimbo  kwa ajili ya kuchochea maendeleo ya miradi hiyo.Fedha ya mfuko inatolewa na serikali kuu kila mwaka wa fedha kulingana...

 

10 years ago

Michuzi

MFUKO WA JIMBO WA MBUNGE WA KIGOMA KUSINI WATOA MAGODORO NA VITANDA KITUO CHA AFYA NGURUKA

Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini, Mhe. David Kafulila akihakikisha vitanda vilivyotolewa na mfuko wa jimbo lake katika kituo cha afya cha Nguruka, vinafungwa vyema.
Na Editha Karlo wa Globu ya jamii, Kigoma
Mfuko wa Mbunge wa  Jimbo la Kigoma kusini, Mhe. David Kafulila umetoa magodoro 20 na vitanda 20 kwa kituo cha afya cha Nguruka ili kuboresha huduma ya afya kituoni hapo hasa kwa akina mama wajawazito.
Mganga Mkuu wa kituo cha afya Nguruka, Dk. Stanford Chamgeni alisema kuwa kituo hicho...

 

9 years ago

GPL

MFUKO WA PENSHENI WA PSPF, TPB KWA KUSHIRIKIANA NA PROPERTY INTERNATIONAL WAZINDUA MFUKO MPYA

 WAZIRI wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais, (anayeshughulikia masuala ya Muungano), Samia sSuluhu Hassan,(wapili kulia), Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, Sabasaba Moshingi, (wakwanza kulia), Afisa Mtendaji Mkuu wa Property International Ltd, (PIL), Abdulkarim Haleem, (watatu kulia), na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Uwekezaji, Gabriel Silayo, (wane...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani