Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Silinde akiri kukalia fedha za mfuko wa jimbo

MBUNGE wa Mbozi Magharibi, David Silinde (Chadema)MBUNGE wa Mbozi Magharibi, David Silinde (Chadema) anadaiwa kuzuia kutumika fedha zaidi ya Sh milioni 46 za Mfuko wa jimbo hilo kwa shughuli za maendeleo, ili kuzitumia kwenye kampeni za ubunge.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Wizara ya Fedha ya kutana na uongozi wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) nakujadili jinsi ya kufanikisha awamu ya pili ya mfuko huo nchini Tanzania.

Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue naye alikuwepo katika ujumbe huo.Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile akifurahia jambo na Mkuu wa mambo ya uchumi wa Mfuko wa changamoto za milenia. Wakiwa pamoja na Kamishna wa Fedha za Nje Bw. Saidi Ngosha Magonya.Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile akifurahia jambo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue. Wakishuhudiwa na Bw. Abbas Abeid Missana...

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri wa Fedha akiri hali ngumu

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya amekiri Serikali kuwa katika hali ngumu, lakini akasema kuwa mkakati uliopo ni kudhibiti matumizi ili yaendane na fedha iliyopo.

 

10 years ago

Mwananchi

Waziri wa Fedha akiri udhaifu Bandari

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya amesema, Serikali itabadilisha kanuni kwa malengo mahususi ya kudhibiti misamaha ya kodi.

 

10 years ago

Habarileo

CAG kuchunguza mfuko wa jimbo

Waziri wa Fedha na Uchumi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Omar Yussuf MzeeWAZIRI wa Fedha na Uchumi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Omar Yussuf Mzee amemwagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kuchunguza matumizi ya fedha za mfuko wa jimbo, baada ya kubainika kukiukwa kwa sheria na kanuni za matumizi ya fedha hizo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbunge wa Bahi katika kashfa ya Mfuko wa Jimbo

>Mbunge wa Bahi(CCM), Omar Badwel ameingia katika kashfa baada ya Kamati ya Uhakiki wa Fedha za Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo kubaini matumizi mabaya ya fedha hizo.

 

11 years ago

Mwananchi

Halmashauri sita zakiuka masharti ya Mfuko wa Jimbo

>Pamoja na Sheria ya Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo (CDTF), kuweka sharti la miradi itakayotekelezwa iibuliwe na wananchi, halmashauri sita nchini zimebainika kukiuka.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Fedha za mfuko wa barabara wapewe wakandarasi wazawa


NA JUMBE USMAILLY, MANYONI
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amewaagiza wahandisi, mameneja wa mikoa wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) na wakurugenzi wa halmashauri kuhakikisha fedha zote zilizotolewa na Mfuko wa Barabara, kazi zake zote zitolewe kwa wakandarasi wazalendo.
Dk. Magufuli alitoa agizo hilo mjini Manyoni mkoani Singida wakati akiweka jiwe la msingi la barabara ya mjini Manyoni yenye urefu wa kilomita 2.8 inayotengenezwa kwa kiwango cha lami kwa gharama ya sh. bilioni...

 

10 years ago

Vijimambo

MKE AKIRI MUMEWE BWANA BALENGA KUMUUZIA NYUMBA MFANYABIASHARA HANS MACHA KUTOKANA NA KULEMEWA NA MADENI YA MAMILIONI YA FEDHA ALIZOKOPA


DAR ES SALAAM, Tanzania
MKE wa mlalamikaji katika kesi ya kughushi dhidi ya Mfanyabiashara Hans Macha (pichani), amedai mahakamani kwamba mumewe anadaiwa fedha nyingi na mshtakiwa, alishindwa kulipa akaamua kumuuzia nyumba.

Mke huyo Nurya Ahmad (34),ambaye ni shahidi wa upande wa utetezi, amedai hayo leo Desemba Mosi, katika Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu,Dar es Salaam, mbele ya Hakimu Mkazi Devotha Kisoka, kwa kuongozwa na wakili wa utetezi, Deo Ringia.

Nurya amedai mahakamani hapo kwamba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani