Cameron: ni sawa magazeti kukera
Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron atafautiana na maneno ya Papa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo527 Dec
Mashabiki walumbana kuhusu video ya Alikiba ‘Mwana’, kama ni sawa au si sawa kwa video kutofuata maudhui ya wimbo
Wiki moja baada ya video ya Alikiba ‘Mwana’ iliyofanyiika Afrika Kusini na kuongozwa na Godfather, itoke, kumekuwa na maoni tofauti kuhusiana na video hiyo. Baadhi yao wameonekana kuifurahia na wengine wameonekana kutoridhishwa na baadhi ya vitu. Baadhi ya waliotoa maoni wamesema kuwa walitegemea kuona video yenye script inayoendana na maudhui ya wimbo ili kumuwezesha hata […]
9 years ago
BBCSwahili14 Sep
Cameron azuru Lebanon
Waziri mkuu wa Uingereza, David Cameron, anazuru Lebanon ili kujionea mwenyewe namna msaada kutoka Uingereza unavyotumika huko
10 years ago
BBCSwahili29 May
Uhamiaji:Cameron kuishawishi Ujerumani
Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron amezungumzo na kansela wa Ujerumani Angela Merkel, kuhusiana na mageuzi katika jumuia ya muungano wa bara ulaya.
10 years ago
BBCSwahili29 Jun
Cameron asema IS ni tishio kubwa
Waziri mkuu nchini Uingereza David Cameron amesema kuwa wapiganaji wa islamic state ni tishio kubwa mataifa ya magharibi.
11 years ago
BBCSwahili11 May
Cameron:Waliotekwa Nigeria warejeshwe
Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron ameahidi Uingereza kusaidia jitihada za kuwapata wasichana waliotekwa Nigeria
10 years ago
BBCSwahili30 Jul
Cameron atakiwa asiwadhalilishe wahamiaji
Waziri mkuu wa Uingereza ameibua utata, kwa kuwaita wahamiaji haramu wanaojaribu kuvuka mpaka na kuingia Uingereza kama ''bumba la nyuki''.
10 years ago
BBCSwahili09 May
Cameron aandaa serikali mpya
Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron anatumia wikendi hii kukamilisha orodha yake ya mawaziri baada ya chama chake kushinda
10 years ago
BBCSwahili19 Jul
Cameron ataka Uingereza kushambulia IS
Waziri mkuu wa Uingereza, David Cameron, amedhihirisha zaidi, kwamba anataka wanajeshi wa Uingereza wawashambulie wapiganaji wa Islamic State nchini Syria.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania