Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Cameron asema IS ni tishio kubwa

Waziri mkuu nchini Uingereza David Cameron amesema kuwa wapiganaji wa islamic state ni tishio kubwa mataifa ya magharibi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Miliband asema yuko tayari kumrithi David Cameron.

Kiongozi wa chama cha upinzani cha Labour nchini Uingereza, Ed Miliband amesema chama cha Labour kitabadili namna nchi inavyoendeshwa na nani wa kuiendesha.”

Miliband amesema hayo wakati akizindua ilani ya uchaguzi ya chama hicho.

Amesema amepimwa kama kiongozi wa upinzani na yuko tayari kwa wadhifa huo, Bwana Miliband amesema chama cha Labour kitakuwa “chama cha mabadiliko na uwajibikaji”.

Amekataa “orodha ya mapendekezo”, yakihakikisha kuwa sera zote hazitahitaji ukopaji wa ziada.

Lakini...

 

10 years ago

BBCSwahili

P.M:Tishio la ugaidi Uingereza ni kubwa

Uingereza inasema matukio yanayoshuhudiwa nchini Iraq na Syria yameongeza tishio la mashambulizi ya kigaidi nchini humo.

 

11 years ago

Habarileo

Ugaidi bado ni tishio kubwa EAC - Kenyatta

RAIS wa Kenya ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Uhuru Kenyatta amesihi nchi wanachama kushirikiana dhidi ya ugaidi na ujangili, kwa kuwa hakuna nchi yoyote inayoweza kujiona ipo huru zaidi kuhusu matukio hayo.

 

9 years ago

Bongo5

Ni heshima kubwa kwangu kuwa kwenye wimbo wa Wizkid — Asema Drake

Toka Wizkid atoe remix ya ‘Ojuelegba’ ambayo amewashirikisha Drake na Skepta, Drake hakuwahi kusema ni kitu gani kilimsukuma kufanya remix kwa mapenzi yake mwenyewe. Hatimaye Drake amezungumza na kutoa sababu za kuamua kufanya remix hiyo, katika mahojiano aliyofanya na jarida la FADER toleo lake la 100. Baada ya rapper huyo wa Canada kuulizwa endapo aliamua […]

 

9 years ago

Bongo5

Tunakubali watu wametuchoka, tuna kazi kubwa ya kujijenga na kurudisha imani — Asema Lundenga

Mkurugenzi wa Lino International Agency ambao ni waandaaji wa Miss Tanzania, Hashimu Lundenga amesema kuwa baada ya Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kulifungulia shindano hilo, sasa wana kazi kubwa ya kurudisha imani kwa mashabiki na wadhamini. “Sisi kama Lino International Agency Ltd tumepokea taarifa za kufunguliwa kwa mashindano ya Miss Tanzania kwa furaha sana, […]

 

9 years ago

Bongo5

Kitendo cha kupupuruka mwili nikawa kama AT kwangu itakuwa ni fedheha kubwa sana– Asema Msechu

Peter Msechu

Peter Msechu hana mpango wa kupungua mwili ili awaridhishe mashabiki ambao wamekuwa wakimsema kutokana na kujiachia sana mwili.

Peter Msechu

Muimbaji huyo wa ‘Nyota’ anaamini kuwa mwonekano alionao sasa ni moja ya utambulisho wake, hivyo akipungua mwili inaweza kuharibu ‘image’ yake. Mfano wa anachokimaanisha hapo ni kama Baghdad wa zamani na alivyo sasa unaweza kumsahau baada ya kupungua sana.

baghdad wa zamani na sasa
Kushoto Baghdad wa sasa, kulia wa zamani

“Mi ninachokiogopa kwenye maisha yangu ni kuwa model, sababu nadhani...

 

5 years ago

Michuzi

OFISA LHRC ANAYESHTAKIWA KWA UTAKATISHAJI FEDHA ASEMA VIRUSI VYA CORONA VIMESABABISHA MAHABUSU KUISHI KWA HOFU KUBWA MAGEREZANI




Na Karama Kenyunko,Michuzi TV
MSHTAKIWA Tito Magoti ambaye ni Ofisa wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), amedai licha ya Serikali kupunguza msongamano wa watu katika maeneo mbalimbali nchini ili kuzuia kusambaa kwa virusi vya Corona, mahabusu wanaishi kwa hofu kubwa kutokana na mlundikano uliopo huko gerezani.
Magoti anashtakiwa pamoja na Theodory Giyani (36) ambaye ni mtaalamu wa Tehama katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.Wote kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo...

 

9 years ago

BBCSwahili

Cameron azuru Lebanon

Waziri mkuu wa Uingereza, David Cameron, anazuru Lebanon ili kujionea mwenyewe namna msaada kutoka Uingereza unavyotumika huko

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani