Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kitendo cha kupupuruka mwili nikawa kama AT kwangu itakuwa ni fedheha kubwa sana– Asema Msechu

Peter Msechu

Peter Msechu hana mpango wa kupungua mwili ili awaridhishe mashabiki ambao wamekuwa wakimsema kutokana na kujiachia sana mwili.

Peter Msechu

Muimbaji huyo wa ‘Nyota’ anaamini kuwa mwonekano alionao sasa ni moja ya utambulisho wake, hivyo akipungua mwili inaweza kuharibu ‘image’ yake. Mfano wa anachokimaanisha hapo ni kama Baghdad wa zamani na alivyo sasa unaweza kumsahau baada ya kupungua sana.

baghdad wa zamani na sasa
Kushoto Baghdad wa sasa, kulia wa zamani

“Mi ninachokiogopa kwenye maisha yangu ni kuwa model, sababu nadhani...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Ni heshima kubwa kwangu kuwa kwenye wimbo wa Wizkid — Asema Drake

Toka Wizkid atoe remix ya ‘Ojuelegba’ ambayo amewashirikisha Drake na Skepta, Drake hakuwahi kusema ni kitu gani kilimsukuma kufanya remix kwa mapenzi yake mwenyewe. Hatimaye Drake amezungumza na kutoa sababu za kuamua kufanya remix hiyo, katika mahojiano aliyofanya na jarida la FADER toleo lake la 100. Baada ya rapper huyo wa Canada kuulizwa endapo aliamua […]

 

10 years ago

Vijimambo

RATIBA YA KUSAFIRISHA MWILI WA MAREHEMU MHE. CAPT. JOHN KOMBA ITAKUWA KAMA IFUATAVYO:

Marehemu Kapteni Komba enzi za Uhai wake.

Kesho tarehe 02/3/2015 saa 1 asubuhi misa parokia ya Mt. Bikira Maria Mpalizwa iliopo mbezi , saa 4 asubuhi mwili utaelekea Karimjee kwa ajili ya kuagwa, na saa 8 mchana mwili utaelekea airport tayari kwa safari ya Songea. Mazishi yatafanyika tarehe 3/3/2015 kijijini kwake Lituhi.
Kufuatia Msiba huu shughuli za kamati hazitakuwepo kwa kesho tarehe 2/3/2015. Ukipata taarifa hii tafadhali mjulishe na mwingine.
IMETOLEWA NA;OFISI KATIBU WA BUNGE1.3.2015

 

9 years ago

Bongo5

Nahreel asema hakufurahishwa na kitendo cha kuondolewa kwa utambulisho wake kwenye wimbo wa ‘Nana’

Nahreel

Kuna baadhi ya watu huenda hawafahamu kuwa mdundo wa ‘Nana’ wa Diamond Platnumz ni zao la producer Nahreel wa The Industry, na hii ni kutokana kwamba haina ule utambulisho wa kazi zake ‘Nahreel on the beat’ ambao husikika kwenye kazi zote alizotayarisha.

Nahreel

Nahreel amesema kuwa kiashirio cha producer kwenye wimbo huo kiliondolewa kwa sababu ambazo hakuona kama zina uzito.

“Sababu walizosema walisema tu stori ilivyoanza pale mbele ile slogan yangu ingeleta hitilafu lakini it doesn’t make sense,...

 

9 years ago

BBCSwahili

Faini ya FA ni fedheha asema Mourinho

Meneja wa Chelsea Jose Mourinho amesema Faini ya Pauni 50,000 aliyotozwa na chama cha soka cha England (FA) ni fedheha

 

9 years ago

Habarileo

Mzindakaya asema kuhama CCM ni fedheha

MWANASIASA mkongwe nchini, Dk Chrisant Mzindakaya amesema kuwa kwake ni fedheha kubwa kukihama Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwani itakuwa sawa na kulamba matapishi yake mwenyewe.

 

10 years ago

GPL

FEDHEHA KUBWA MUME WA MTU AKUTWA NA CHANGUDOA AKIVAA SURUALI

WAANDISHI WETU Ikiwa kwenye misele ya mlala nje, ile Timu ya Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers, imenasa tukio la aina yake ambapo mwanaume aliyejitambulisha kuwa ni mume wa mtu amekutwa na mwanamke changudoa akivaa suruali baada ya kuvunja amri ya sita ya Mungu kwenye eneo la biashara ya mamantilie! Wakihamaki baada ya kukurupushwa. Tukio hilo la aina yake lilinaswa kwenye uchochoro mmoja, maeneo ya Mwenge, Dar,...

 

9 years ago

Bongo5

Sifikirii kama siasa inaweza kunilipa kama sanaa- JB

Mwigizaji wa Bongo movie na mkurugenzi wa kampuni ya Jerusalem Film, Jacob Stephen ‘JB’ amesema kuwa upande wake anaona sanaa inalipa kuliko siasa. Akizungumza na Global Publishers, JB amesema kuwa kupitia sanaa ameweza kutoa ajira kwa watu wasiopungua 30 katika kila filamu anayoitoa. “Sanaa inanilipa, sifikirii kama ubunge au siasa kwa ujumla inaweza kunilipa kama […]

 

9 years ago

GPL

STELLA JOEL: HILI NI PIGO KUBWA KWANGU

Katibu Mwenezi wa Chama cha Muziki wa Injili Tanzania, Stella Joel. Gladness Mallya
KATIBU Mwenezi wa Chama cha Muziki wa Injili Tanzania, Stella Joel amesema kifo cha mumewe Yeronimo Mwalo ni pigo kubwa kwake linalohitaji maombi ya kila siku. Akizungumza kwa huzuni, Stella alisema mumewe alifikwa na umauti Ijumaa iliyopita katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ambako alilazwa kwa muda wa siku nne akisumbuliwa na uti wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Gotze: Ni kama zali tu kwangu

Shujaa wa Ujerumani, Mario Gotze amesema kufunga bao pekee na  la ushindi katika fainali ya Kombe la Dunia ni kama bahati na zawadi yake katika msimu wake mgumu akiwa Bayern Munich.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani