Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tunakubali watu wametuchoka, tuna kazi kubwa ya kujijenga na kurudisha imani — Asema Lundenga

Mkurugenzi wa Lino International Agency ambao ni waandaaji wa Miss Tanzania, Hashimu Lundenga amesema kuwa baada ya Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kulifungulia shindano hilo, sasa wana kazi kubwa ya kurudisha imani kwa mashabiki na wadhamini. “Sisi kama Lino International Agency Ltd tumepokea taarifa za kufunguliwa kwa mashindano ya Miss Tanzania kwa furaha sana, […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

‘Tuna imani na Askofu Massangwa’


NA LILIAN JOEL, ARUSHA
WAUMINI wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Kati, wamesema  Askofu Mteule Solomon Massangwa ni chaguo la Mungu na hawana shaka naye.
Massangwa alichaguliwa juzi, kuwa Askofu wa Dayosisi hiyo baada ya kupata kura 261 kati ya kura 263, sawa na asilimia 99.98 na msaidizi wake,  Mchungaji Gidion Kivuyo alipata kura 242 kati ya kura 263.
Uchaguzi huo ulifanyika juzi, katika Shule ya Sekondari Peace House iliyoko Kata ya Mtevesi wilayani,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kilimanjaro: Tuna imani na uwazi TFF

WADHAMINI wa timu ya taifa, Kilimanjaro Premium Lager, wameonyesha kuridhishwa na uwazi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), katika kuendesha masuala ya timu ya Taifa ‘Taifa Stars’. Hayo yamesemwa na...

 

11 years ago

BBCSwahili

Tuna maswali ya kujibu asema Wenger

Wenger asisitiza kuwa wana uwezo wa kushinda ligi kuu msimu huu lakini amekiri kipigo walichopata Anfeild kimezua maswali mengi

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tuna imani naye Chenge…oyaa, oyaa!

NIKIWA mmoja wa waandishi waliopata bahati ya kuripoti habari za Bunge Maalum la Katiba (BMK), jambo kumbwa nililojifunza kwa wajumbe kwa ujumla wao wakubwa kwa wadogo ni ‘unafiki’. Mnafiki ni...

 

9 years ago

Bongo5

Yamoto Band: Tuna kila sifa za kuwa kundi kubwa la muziki Afrika

Yamoto Band

Msanii wa kundi la Yamoto Band, Aslay Isihaka amesema show zao za mwisho walizofanya nchini Marekani na Uingereza zimewafanya waone wana nafasi kubwa ya kutoboa kimataifa zaidi.

Yamoto Band

Aslay ameiambia Bongo5 Jumatatu hii kuwa kutokana na show nne walizofanya Ulaya zimewafanya waone ukubwa wao kwa mashabiki wa nje.
“Mashabiki wetu wa Ulaya walikuwa hawaamini kama ni sisi ndiyo tunafanya kile wanachokiona kutokana na umri wetu,” alisema.

“Lakini tunashukuru Mungu tulifanya show nzuri hali ambayo...

 

9 years ago

BBCSwahili

Museveni asema ana imani atashinda urais

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema wagombea urais wanaoshindana naye kwenye uchaguzi mkuu mwaka ujao si tishio kwake.

 

10 years ago

Mwananchi

Waziri asema wananchi hawana imani na polisi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mohamed Aboud Mohamed amesema wananchi hawana imani tena na Jeshi la Polisi kwa kuwa vitendo vya uhalifu vinafanyika, lakini hakuna wanaotiwa mbaroni.

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AZIDI KUCHANJA MBUGA,AWATAKA WANANCHI WAWEKE IMANI KUBWA KWAKE NA KUMPA KURA NYINGI ZA USHINDI

 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Njombe mjini katika mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika jioni ya leo katika uwanja wa saba saba.Magufuli amesema akichaguliwa kuwa rais wa awamu ya tano ataendeleza juhudi zake za kujenga barabara kwa kiwango cha lami,amesema dhamira yake aliokuwa nayo ya Uwaziri wa Ujenzi katika kujenga barabara za lami katika maeneo yote hapa nchini.
Amesema tangu kupewa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Magufuli azidi kuchanja mbuga, awataka wananchi waweke imani kubwa kwake na kumpa kura nyingi za ushindi

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Njombe mjini katika mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika jioni ya jana katika uwanja wa saba saba.Magufuli amesema akichaguliwa kuwa rais wa awamu ya tano ataendeleza juhudi zake za kujenga barabara kwa kiwango cha lami,amesema dhamira yake aliokuwa nayo ya Uwaziri wa Ujenzi katika kujenga barabara za lami katika maeneo yote hapa nchini.

Amesema tangu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani