CAR:75 wauwa katika vita vya kidini
Kasisi mmoja katika Jamhuri ya Afrika ya kati anasema kuwa katika kipindi cha wiki moja takriban wakristo 75 wameuawa kutokana na ghasia baina ya vikundi vya kidini mjini Boda.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili11 Jul
Ghana haina vita vya kidini
Serikali ya Ghana imekanusha madai kuwa inakabiliwa na vita vya kidini baada mashabiki kuomba hifadhi Brazil
11 years ago
BBCSwahili11 Jan
Ghasia za kidini zitakwisha CAR?
Rais wa mpito wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Michel Djotodia,amejiuzulu katika siku ya mwisho ya mkutano wa kikanda nchini Chad ambao ulikuwa unatafuta suluhu kwa mgogoro wa kidini unaokumba nchi hiyo.
11 years ago
Mwananchi24 Jul
Sumaye: Vita ya kidini haina mshindi
Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amesema vita ya kidini na ile inayosababishwa na imani ya watu ni mbaya na mara zote huwa haina mshindi.
5 years ago
BBCSwahili29 Feb
Vita vya Afghan: Marekani na Taliban watia saini kumaliza vita vya miezi 18
Marekani na washirika wake wa Nato wamekubaiana kuondoa vikosu vyote ikiwa Talibanitatimiza ahadi yake
5 years ago
BBCSwahili28 Feb
Vita vya Syria. Wanajeshi wa Uturuki 33 wauawa katika mashambulio Idlib
Uturuki imeanza kulipiza kisasi kwa kuyalenga, kuyashambulia maeneo ya serikali ya Syria, vinasema vyombo vya habari vya Syria.
5 years ago
BBCSwahili06 May
Virusi vya corona: Unyanyapaa umedhihirika kuwa kikazwo kikubwa katika vita hii
Miongoni mwa changamoto zinazojitokeza katika kukabiliana na Covid-19 ni unyanyapaa. fahamu kinachoendelea katika maeneo mbalimbali.
11 years ago
BBCSwahili09 Jun
Waathiriwa wa vita CAR
Vita vya kidini vya zaidi ya mwaka mmoja CAR vimesababisha hali ya kusikitisha kwa wananchi
5 years ago
BBCSwahili13 May
Virusi vya corona: Makundi ya kidini yanayopinga hatua za kukabiliana na Covid-19
Kuanzia Kusini hadi Amerika Kaskazini makundi mbalimbali ya Kievanjelisti yalikuwa yanaongoza kati ya yale yanayokiuka hatua ya kutokaribiana kama njia ya kukabiliana na janga la corona ambalo linaendelea kusababisha maafa makubwa katika bara hilo.
11 years ago
BBCSwahili13 Jan
Waasi wasitisha vita Bangui, CAR
Wapiganaji kutoka makundi hasimu, walikumbatiana katika mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Bangui baada ya majeshi ya Ufaransa kuwapatanisha
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania