Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM itang’oka kwa mambo haya - Ukawa

Arusha. Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umetaja majukumu makuu matano yanayopaswa kutekelezwa na Watanzania wenye mapenzi mema kuelekea Uchaguzi Mkuu baadaye mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

CCM hiyo inang’oka, UKAWA wanatuletea nini?

WANASIASA, wachambuzi, waandishi wa habari na hata wananchi wa kawaida wanasema uchaguzi wa mwaka

Njonjo Mfaume

 

11 years ago

Mtanzania

Ukawa, CCM mambo mazito

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, akiongoazana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho, January Makamba (kushoto), nje ya Hotel ya Sea Cliff wanapofanya kikao pamoja na wajumbe wa Ukawa. Picha ndogo ni Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, akiwahi katika kikao hicho jijini Dar es Salaam jana. Picha na Fidelis Felix.

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, akiongoazana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho, January Makamba (kushoto), nje ya Hotel ya Sea Cliff wanapofanya kikao pamoja na wajumbe wa Ukawa. Picha ndogo ni Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, akiwahi katika kikao hicho jijini Dar es Salaam jana. Picha na Fidelis Felix.

Na Patricia Kimelemeta

KIKAO cha kutafuta maridhiano kuhusu mchakato wa Katiba mpya kilichofanyika jana baina ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo matatu yanayoipa CCM nguvu dhidi ya UKAWA

Wakati Taifa likielekea katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu, ushindani wa wazi wa kisiasa kati ya chama tawala (CCM) na vyama vya upinzani kupitia Ukawa unaonekana bayana.

 

10 years ago

Vijimambo

Mbunge Edward Lowassa kakaribishwa UKAWA, amejiunga nao? Majibu ni haya kwa Mbatia… (Audio)


“Watanzania wanataka mabadiliko, wasipoyapata ndani ya CCM watayatafuta nje” Hii ni moja ya sentensi ambazo Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa aliziongea Arusha May 30 2015 alipotangaza nia ya Kugombea Urais kupitia CCM. SOURCE:MILLARDAYO.COM

 

9 years ago

Habarileo

Mzee Kingunge ang’oka CCM

MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale- Mwiru, ametangaza kujiondoa kwenye chama tawala, CCM, ambacho amekuwa mmoja wa waumini wake wakubwa tangu enzi za TANU, kabla kuungana na ASP na kuzaliwa CCM mwaka 1977.

 

9 years ago

Vijimambo

SUMAYE-SIRUDI NYUMA MPAKA NIHAKIKISHE CCM IMENG'OKA!


Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema pamoja na vitisho ambavyo amevipata kutoka kwa mahasimu wake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), hatarudi nyuma mpaka atakapohakikisha chama hicho kimeng’oka madarakani.Kadhalika, amesema mwisho wa CCM kukaa madarakani ni mwaka huu kwa kuwa wananchi wameamua kufanya mabadiliko wenyewe. Aliyasema hayo jana wakati akizindua kampeni za ubunge Jimbo la Ubungo za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UFISADI WA BIL. 200/-BoT: CCM kung’oka kama KANU

KASHFA nzito ya ufisadi wa dola za Marekani milioni 122 (sawa na sh bil. 200) inayowakabili vigogo sita wa serikali, huenda ikaking’oa madarakani Chama Cha Mapinduzi (CCM) kama ilivyotokea kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani