Ukawa, CCM mambo mazito
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, akiongoazana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho, January Makamba (kushoto), nje ya Hotel ya Sea Cliff wanapofanya kikao pamoja na wajumbe wa Ukawa. Picha ndogo ni Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, akiwahi katika kikao hicho jijini Dar es Salaam jana. Picha na Fidelis Felix.
Na Patricia Kimelemeta
KIKAO cha kutafuta maridhiano kuhusu mchakato wa Katiba mpya kilichofanyika jana baina ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi09 May
CCM itang’oka kwa mambo haya - Ukawa
10 years ago
Mwananchi25 Mar
Mambo matatu yanayoipa CCM nguvu dhidi ya UKAWA
11 years ago
Uhuru NewspaperMambo mazito
Serikali yasema misamaha ya kodi imetosha CAG kuchunguza iliyoingiwa na wawekezaji Kodi ya PAYEE, ukomo wa mikweche palepale
SERIKALI imesema haitapunguza zaidi kodi kwenye mishahara ya wafanyakazi (PAYE) kwa sasa kutokana na ongezeko la mishahara lililofanywa kwa wafanyakazi wa sekta ya umma hivi karibuni.
Aidha serikali imesema umri wa magari yatakayoruhusiwa kisheria kuingizwa nchini utaendelea kuwa miaka minane badala ya 10 kama ilivyopendekezwa kwenye bajeti ya serikali.
Msimamo huo...
10 years ago
GPLHALIMA MDEE ASIMULIA MAMBO 5 MAZITO YA SEGEREA
10 years ago
Uhuru Newspaper27 Oct
Aliyejilipua kwa risasi aibua mambo mazito
NA LILIAN JOEL, ARUSHA
SAKATA la Mkurugenzi wa Kampuni ya Kitalii ya DAGT, Timoth Mroki, kujiua kwa kujilipua kwa risasi, limeibua mambo mapya kutokana na kuelezwa kuwa wivu wa kimapenzi.
Habari zilizopatikana jijini hapa, zinasema kuwa Mroki (36), alikuwa na vimada wawili ambao ni wake za watu na kuwa kabla ya kujilipua kwa risasi na kupoteza maisha, alitoa taarifa kwa wanawake hao (majina yanahifadhiwa).
Imeelezwa kuwa Mroki alikuwa akitoka na wanawake hao kila mmoja kwa muda wake, lakini...
10 years ago
Bongo Movies22 Apr
Mama Lulu Funguka Mambo Mazito Kuhusu Mwanaye!
Kufuatia kuandamwa na skendo za wanaume na kuchafuliwa kila siku, mama mzazi wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’, Lucresia Karugila ‘Mama Lulu’ ametoa kauli nzito yenye kushtua kwamba anatamani mwanaye huyo afe tu ili watu wanyamaze kumsemasema. Imemuuma sana!
Mama Lulu amefunguka hayo siku kadhaa baada ya mitandao ya kijamii kuchafuka kwa habari za binti yake na wanaume hasa wa watu huku mwenyewe (Lulu) akiwa nyumbani kwake Mbezi-Beach jijini Dar akiwa hana hili...
10 years ago
Vijimambo11 Aug
Dr. Slaa ameibuka tena kupitia Ukurasa wake wa Twitter na kusema mambo mazito kuhusu Lowassa.
10 years ago
Mtanzania03 Jun
Urais CCM wafukua mazito
Na Waandishi wetu
IDADI ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaotangaza nia ya kuwania urais imezidi kuongezeka, huku kila mmoja akifukua mambo mazito.
Hatua hiyo, imekuja baada ya Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani jana kutangaza rasmi kuingia kwenye kinyang’anyiro hicho.
Makada hao, wanaungana na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, Waziri wa Kilimo, Chakula...