CCM Katavi yanyemelewa na mpasuko
Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Katavi kinanyemelewa na mpasuko mkubwa baada ya kuwapo madai ya baadhi ya viongozi kujiingiza katika makundi ya watu wenye dhamira ya kugombea ubunge katika majimbo mbalimbali mkoani hapa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Mwema15 Jul
Mpasuko CCM Siha
MPASUKO mkubwa unakinyemelea Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro k
Paul Sarwatt
10 years ago
Tanzania Daima17 Aug
Mpasuko CCM Iringa
JOTO la kuwania ubunge Iringa Mjini, katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika mwakani limeanza kuwagawa vigogo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa Tanzania Daima Jumapili, limedokezwa. Mgawanyiko huo umekua...
11 years ago
Habarileo11 Feb
Mpasuko chanzo cha CCM kugaragazwa Arusha
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mjini Arusha, Modesti Meikoki amesema kushindwa kwa chama hicho katika chaguzi mbalimbali katika Jiji la Arusha ni kutokana na mpasuko na mgawanyiko uliopo ndani ya chama hicho kikongwe nchini.
9 years ago
Habarileo28 Oct
CCM yazoa majimbo manne Katavi
WAKATI matokeo ya Jimbo la Kavuu mkoani Katavi yakisubiriwa kutangazwa leo, tayari CCM imeshinda katika majimbo mengine manne mkoani humo.
11 years ago
Michuzi9 years ago
VijimamboDK MAGUFULI AHAMISHIA MAFURIKO YA KAMPENI ZA CCM MKOANI KATAVI
11 years ago
GPL15 Apr
11 years ago
GPLKATIBU MKUU CCM AMALIZA ZIARA YAKE KIGOMA, AHAMIA MKOANI KATAVI
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM,KINANA AWASILI SALAMA MKOA WA KATAVI USIKU HUU AKITOKEA KIGOMA.