Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM ‘kuishambulia’ Ukawa kwa siku 26

Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaanza ziara ya siku 26 katika Mikoa mitatu ya Tabora, Singida na Manyara kukagua uhai wa chama na maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa baadaye mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

MJEMA: CCM, Ukawa, tumieni siku 35 kufanya tafakuri

> Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wana  siku 35 kuanzia leo, kutafakari kama kweli wana dhamira ya dhati ya kuwapatia wananchi Katiba Mpya au la kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015.

 

10 years ago

GPL

MGOMBEA URAIS UKAWA KUTANGAZWA KWA SHAMRASHAMRA NDANI YA SIKU 7

BAADA ya kikao (summit) kukamilisha maridhiano ambapo kilizungumzia jinsi gani ya kuachina majimbo yalibaki na suala la mgombea urais, sasa mgombea urais ndani ya UKAWA kuja kutangazwa kwa shamrashamra ndani ya siku saba. Akiongea na waandishi wa habari Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia aliwaeleza wanahabari kuwa taratibu zote zimekamilika ndani ya vyama vinavyounda UKAWA na kilichobaki ni jinsi gani ya kumtangaza mgombea...

 

10 years ago

Michuzi

UPDATES YA UKAWA USIKU HUU: MGOMBEA URAIS WA UKAWA KUTANGAZWA NDANI YA SIKU SABA

Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA umesema kuwa mgombea wao wa Urais watamtoa baada ya siku saba.
Akizungumza na Waandishi wa Habari usiku huu,Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi,Mh.James Mbatia amesema kuwa kuchukua muda mrefu kwa kikao hicho imetokana na kuandaa utaratibu jinsi ya kumtoa mwali wao  wa Urais kwa tiketi ya UKAWA aliye bora.Amesema kuwa mkutano huo pia umechukua muda mrefu  kutokana na mambo mengi ikiwemo mgawanyo wa majimbo.
Afisa Habari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hofu ya CCM kwa UKAWA ni nini?

WAHENGA hawakukosea waliposema “Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu.” Ni nasaha inayotukumbusha umuhimu wa kushirikiana na binadamu wenzetu maishani katika mambo  tufanyayo. Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ni muungano...

 

10 years ago

Mwananchi

Bakora sita za Ukawa kwa CCM

Uhakika wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kutamba katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba utategemea umahiri wake katika kukabiliana na vikwazo sita vinaonekana kuwa mwiba kwake ambavyo upinzani kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), unatarajiwa kuvitumia kama mtaji wake katika kampeni.

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa: CCM wajiandae kwa anguko 2015

Viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Zanzibar wameibeza ripoti iliyotolewa wiki hii na Taasisi ya Twaweza, wakisema haielezi hali halisi ilivyo.

 

9 years ago

BBCSwahili

CCM yakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa UKAWA

Watu wamejitokeza kwa wingi katika uchaguzi wa Tanzania unaotajwa kuwa na ushindani mkubwa huku muungano mpya

 

10 years ago

Mwananchi

CCM itang’oka kwa mambo haya - Ukawa

Arusha. Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umetaja majukumu makuu matano yanayopaswa kutekelezwa na Watanzania wenye mapenzi mema kuelekea Uchaguzi Mkuu baadaye mwaka huu.

 

9 years ago

Mtanzania

Ukawa watumia kauli za Kinana kuichongea CCM kwa wananchi

MnyaaNa Elias Msuya, Tanga

ZIARA ya Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Juma Duni Haji, imeingia mkoani Tanga huku viongozi walio kwenye msafara wake wakiwakaanga wagombea ubunge wa CCM kwa kauli ya Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana aliyesema chama chake kimejaa wezi, wanafiki na majambazi.

Kinana alitamka maneno hayo alipozungumza kwenye mkutano wa hadhara  mjini Moshi mkoani Kilimanjaro...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani