Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM Kwembe wadaiwa kuvamia eneo la mjane

Viongozi wa CCM, Tawi la Kwembe wilayani Kinondoni wanadaiwa kuvamia eneo la mjane na kung’oa nguzo za mpaka wa eneo lake pamoja na kukatakata miti.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Panya wadaiwa kuvamia mashamba Iringa.

Na Oliver Motto,

Iringa.

 
Panya wa ajabu wanadaiwa kuvamia mashamba ya wakulima wa vijiji vilivyopo katika halmashauri ya Wilaya ya Iringa na kula mazao yote yaliyopandwa katika msimu huu wa kilimo.

 

Uvamizi huu unafanya matarajio ya mavuno ya wakulima kuwa mashakani baada ya mazao yao kushambuliwa na wanyama hao waharibifu hasa Mahindi ambayo ni zao tegemeo kubwa la wakulima wa Wilaya ya Iringa.
Panya hao wanadaiwa kula mbegu zilizopandwa wakati mazao yaliyomea yakikatwa na kuchimbwa...

 

9 years ago

StarTV

Wakazi Jirarani, Naisinyai Simanjiro wadaiwa kuvamia mgodi

Wakazi wa Kijiji cha Jirarani na mgodi wa Madini ya Tanzanite cha Naisinyai wilayani Simanjiro wanadaiwa kuvamia eneo la mgodi huo na kuzuia njia ya kuelekea lango kuu la mgodi pamoja na kufanya uharibifu wa miundombinu ya maji kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kupinga zoezi linaloendelea la upunguzwaji wa wafanyakazi wa mgodi huo.

Mashuhuda wanasema takribani watu mia moja wanaotajwa kuwa na asili ya wafugaji wa kimaasai wamezingira eneo hilo kabla ya vikosi vya ulinzi vya polisi kuwataka...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge CCM atishia kuvamia mgodini

MBUNGE wa Tarime mkoani Mara, Nyambari Nyangwine (CCM), ametishia kuongoza maandamano kuvamia mgodi wa dhahabu wa North Mara unaomilikiwa na Kampuni ya African Barrick Gold (ABG), ikiwa wakazi wa Kijiji...

 

11 years ago

GPL

UBOVU WA BARABARA ENEO LA VIWANDA VYA KUSAGA NA KUKAMUA MAFUTA ENEO LA SIDO MBEYA NI KERO KWA WAFANYA BIASHARA ENEO HILO

 Hii dimbwi ambalo maji yametuama na kutunza uchafu.  Barabara iendayo kutokea uwanja wa zamani wa ndege mbeya ukiwa umejaa maji.…

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOA WA KAGERA,LEO KUVAMIA MKOA WA GEITA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa Biharamulo mjini ikiwa siku ya mwisho ya ziara ya siku 10 mkoani Kagera ambapo alizungumzia changamoto mbali mbali zikiwemo za Bei ya Kahawa, Leseni za Bisahara na Boda Boda, Urahisishwaji wa Biashara mipakani , Katibu Mkuu aliwataka wananchi wa Biharamulo kuacha siasa za kishabiki badala yake kuchagua viongozi wanaofaa na watakaoleta maendeleo.
Katibu Mkuuu wa CCM Abdulrahman Kinana amehitimisha ziara yake hiyo ya kukagua...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AMALIZA ZIARA YAKE JIMBO LA MISUNGWI,KESHO KUVAMIA JIMBO LA KWIMBA MKOANI MWANZA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wa pili kushoto), akishiriki kupalilia katika shamba la dengu la mwanakijiji cha Manawa, Kata ya Misasi, Luhoyo Mwilima (Wanne kulia), akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama katika jimbo la Misungwi mkoani Mwanza, leo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana,Leo aliendelea na ziara yake katika jimbo la Misungwi linaloongozwa na Mh. Charles Kitwanga ambaye pia ni naibu Waziri wa Nishati na Madini akitembelea maeneo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM wadaiwa kumchapa padri Kalenga

KAMPENI za ubunge katika Jimbo la Kalenga, mkoani Iringa zimeingia katika hatua mbaya baada ya Padri wa Kanisa la Orthodox  katika Kijiji cha Nyamihuu, Kata ya Nzihi, jimboni humo Constantino...

 

11 years ago

Mwananchi

Wafuasi CCM wadaiwa kumpiga padri jimboni Kalenga

Padri wa Makanisa ya Orthodox katika Kijiji cha Nyamihuu, Kata ya Nzihi, jimboni Kalenga Constantino Mbilinyi (36) amepigwa na kujeruhiwa na watu wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa CCM.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani