Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakazi Jirarani, Naisinyai Simanjiro wadaiwa kuvamia mgodi

Wakazi wa Kijiji cha Jirarani na mgodi wa Madini ya Tanzanite cha Naisinyai wilayani Simanjiro wanadaiwa kuvamia eneo la mgodi huo na kuzuia njia ya kuelekea lango kuu la mgodi pamoja na kufanya uharibifu wa miundombinu ya maji kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kupinga zoezi linaloendelea la upunguzwaji wa wafanyakazi wa mgodi huo.

Mashuhuda wanasema takribani watu mia moja wanaotajwa kuwa na asili ya wafugaji wa kimaasai wamezingira eneo hilo kabla ya vikosi vya ulinzi vya polisi kuwataka...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Panya wadaiwa kuvamia mashamba Iringa.

Na Oliver Motto,

Iringa.

 
Panya wa ajabu wanadaiwa kuvamia mashamba ya wakulima wa vijiji vilivyopo katika halmashauri ya Wilaya ya Iringa na kula mazao yote yaliyopandwa katika msimu huu wa kilimo.

 

Uvamizi huu unafanya matarajio ya mavuno ya wakulima kuwa mashakani baada ya mazao yao kushambuliwa na wanyama hao waharibifu hasa Mahindi ambayo ni zao tegemeo kubwa la wakulima wa Wilaya ya Iringa.
Panya hao wanadaiwa kula mbegu zilizopandwa wakati mazao yaliyomea yakikatwa na kuchimbwa...

 

10 years ago

Mwananchi

CCM Kwembe wadaiwa kuvamia eneo la mjane

Viongozi wa CCM, Tawi la Kwembe wilayani Kinondoni wanadaiwa kuvamia eneo la mjane na kung’oa nguzo za mpaka wa eneo lake pamoja na kukatakata miti.

 

9 years ago

StarTV

Wakazi Isunga Nzega wailalamikia Serikali Ubinafsishaji Mgodi Wa Kijiji

Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Isunga wilayani Nzega mkoani Tabora wanaojihusisha na uchimbaji mdogo wa dhahabu wameilalamikia Serikali ya kijiji kwa kutaka kuubinafsisha mgodi huo kwa kampuni ya uwekezaji ya Duva bila kutoa taarifa rasmi kwa wananchi.

Hofu hiyo inakuja baada ya kuona kampuni ya Duva ikiingia mkataba na kijiji hicho wa kuchenjua mchanga wa dhahabu bila wananchi kupewa taarifa kama sheria za Serikali za mitaa zinavyoelekeza.

Shuguli kubwa za kiuchumi katika kijiji hicho ni...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

BBCSwahili

Mbu waanza kuvamia Uingereza

Kutokana na mabadiliko ya mazingira, Mbu wakiwemo wenye uwezo wa kuambukiza ugonjwa wa Malaria na virusi vijulikanavyo kama 'West Nile virus' wameanza kuvamia Uingereza.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge CCM atishia kuvamia mgodini

MBUNGE wa Tarime mkoani Mara, Nyambari Nyangwine (CCM), ametishia kuongoza maandamano kuvamia mgodi wa dhahabu wa North Mara unaomilikiwa na Kampuni ya African Barrick Gold (ABG), ikiwa wakazi wa Kijiji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wazee wa Ngwasuma kuvamia Moro, Dom

BENDI ya muziki wa dansi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ wanatarajiwa kufanya ziara katika mikoa ya Morogoro, Dodoma na Mwanza kwa ajili ya kutambulisha albamu yao mpya ya ‘Chuki...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ya Moto Bendi kuvamia Mbeya Sept. 12

BAADA ya kufanya shoo kadhaa jijini Dar es salaam, bendi inayokuja kwa kasi hapa nchini, Yamoto Band, wanatarajia kutoa burudani ya aina yake, jijini Mbeya Septemba 12 katika Ukumbi wa...

 

10 years ago

Mtanzania

Wazee Simba kuvamia kambi ya wachezaji

Pg 32MWALI IBRAHIM NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
BAADA ya Simba kupokea kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Mbeya City juzi, wazee wa klabu hiyo wameshindwa kuvumilia na kuamua kupanga kutinga kwenye kambi ya timu hiyo iliyopo Ndege Beach Dar es Salaam, ili kuzungumza na wachezaji kujua tatizo linalosababisha kuvurunda katika ligi.
Simba msimu huu imeshindwa kufanya vema katika mechi zake mbalimbali za ligi, ambapo kwa sasa inashika nafasi ya 11 kwenye msimamo hali ambayo imewakasirisha kwa kiasi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani