Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


kadhia 15 za mashabiki kuvamia uwanjani

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mashabiki 15 wafa uwanjani Kinshasa

Ghasia zilizozuka mwishoni mwa mechi ya soka iliyozikutanisha timu mbili maarufu za AS Vita na TP Mazembe za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), zimesababisha watu wanaokadiriwa kufikia 15 kufariki dunia.

 

9 years ago

Bongo5

Jurgen Klopp asikitishwa na mashabiki Liverpool kuondoka uwanjani kabla ya mechi kumalizika

article-3309492-2E42F33300000578-88_964x406

Kocha Jurgen Klopp baada ya kopoteza mechi yake ya kwanza baada ya kuchukua mikoba ya Brendan Rogders baada kufungwa na timu ya Crystal Palace mashabiki wa Liverpool waliamua kuondoka uwanjani na walimuacha peke yake kocha Jurgen Klopp mara baada ya mlinzi wa Crystal Palace, Scot Danny kufunga goli la ushindi katika dakika ya 82 ya mchezo na kufanya matokeo kuwa 2-1.

article-3309492-2E42F33300000578-88_964x406

Akiongelea tukio hilo baada ya mchezo huo kumalizika, kocha huyo raia wa Ujerumani alisema amesikitishwa sana na kitendo...

 

11 years ago

Michuzi

Mashabiki wa mpira wanaoiunga mkono Palestina wavamia wachezaji wa Maccabi Haifa ya Israel uwanjani

 MECHI kati ya timu Israeli ya Maccabi dhidi ya Lille ya Ufaransa iliahirishwa baada ya waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina kuvamiwa uwanja.Waandamanaji hao walioripotiwa kuwa na asili ya Uturuki waliingia katika uwanja wa Austrian ambapo mchezo ulikuwa unaendelea na kuwavamia wachezaji wa Maccabi na kuzua vurugu.Mmoja wa wachezaji alionekana akizozana na shabiki kabla ya kuanza kurushiana makonde mazito. Hata hivyo wachezaji wa Maccabi walifanikiwa kutoka uwanjani bila kujeruhiwa. Tukio...

 

10 years ago

Michuzi

kadhia ya kocha Marcio Maximo yaibu mazito Yanga!

Timua timua ndani ya Yanga imeibua kadhia kubwa ambapo zaiodi  ya TSh  bilioni 3 ndani ya klabu hiyo zikidawia kuchotwa na kwamba uchunguzi unaendelea. Mwanasheria wa Yanga George Chacha ameiambaia Globu ya Jamii kwamba  pamoja na kuwa ukaguzi bado unaendelea lakini huenda kuna mabilioni ya fedha yakawa yameyeyuka  ndani ya klabu hiyo. Alisema: "Kwa haraka haraka kuna fedha kiasi cha dola 2500 za tiketi ya mke wa aliyekuwa kocha msaidizi  Leonado Neiva, aliyetakiwa atumiwe ili aje, hizo...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mbu waanza kuvamia Uingereza

Kutokana na mabadiliko ya mazingira, Mbu wakiwemo wenye uwezo wa kuambukiza ugonjwa wa Malaria na virusi vijulikanavyo kama 'West Nile virus' wameanza kuvamia Uingereza.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wazee wa Ngwasuma kuvamia Moro, Dom

BENDI ya muziki wa dansi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ wanatarajiwa kufanya ziara katika mikoa ya Morogoro, Dodoma na Mwanza kwa ajili ya kutambulisha albamu yao mpya ya ‘Chuki...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ya Moto Bendi kuvamia Mbeya Sept. 12

BAADA ya kufanya shoo kadhaa jijini Dar es salaam, bendi inayokuja kwa kasi hapa nchini, Yamoto Band, wanatarajia kutoa burudani ya aina yake, jijini Mbeya Septemba 12 katika Ukumbi wa...

 

10 years ago

StarTV

Panya wadaiwa kuvamia mashamba Iringa.

Na Oliver Motto,

Iringa.

 
Panya wa ajabu wanadaiwa kuvamia mashamba ya wakulima wa vijiji vilivyopo katika halmashauri ya Wilaya ya Iringa na kula mazao yote yaliyopandwa katika msimu huu wa kilimo.

 

Uvamizi huu unafanya matarajio ya mavuno ya wakulima kuwa mashakani baada ya mazao yao kushambuliwa na wanyama hao waharibifu hasa Mahindi ambayo ni zao tegemeo kubwa la wakulima wa Wilaya ya Iringa.
Panya hao wanadaiwa kula mbegu zilizopandwa wakati mazao yaliyomea yakikatwa na kuchimbwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani