Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM mkizubaa itakula kwenu

LEO viongozi wakuu na mamia ya wafuasi, wapenzi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaungana jijini Mbeya kuadhimisha miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama hicho. Wazazi wa CCM ni...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Wasanii Mjipange kwa Magufuli la Sivyo Itakula Kwenu

TANZANIA imepata rais mpya wa Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli ambaye ameanza kazi rasmi huku Afrika Mashariki ikitegemea mabadiliko makubwa kutoka kwake. Kwenye tasnia ya filamu za Bongo kuna changamoto kubwa na zinazohitaji ufumbuzi makini.

Awamu ya nne chini ya Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete alijitahidi kuangazia kila sekta hasa burudani waliokuwa na utaratibu na kujua mahitaji yao sahihi walifaidika kwa kupewa kitu walichohitaji.

Kwa bahati mbaya inawezekana waliofaidika moja kwa...

 

9 years ago

GPL

SHOGA; UKISEMWA NA MUMEO USINUNE, ITAKULA KWAKO!

Shoga yangu, leo ni Jumanne nyingine ambapo tunakutana katika safu yetu hii ambayo tunaitumia kukosoana na kuelimishana kuhusu masuala ya ndoa nk. Baada ya wiki iliyopita kuzungumza nawe kuhusu mada iliyosema ‘mumeo umepewa na Mungu jiachie utakavyo,’ leo nataka kukutahadharisha kwamba ukisemwa na mumeo usinune, itakula kwako.
Nasema hivyo kwa sababu kuna baadhi ya wenzetu wana tabia ya kupenda kuwanunia waume zao...

 

5 years ago

Michuzi

11 years ago

GPL

KAZI KWENU WAJUMBE BUNGE LA KATIBA

KAMA ilivyo kawaida ya kila siku, ni budi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutubariki tena leo, tukikutana tukiwa na uwezo wa kutambua kwamba, bila yeye aliye juu, tusingeweza kuwa pamoja. Wema wa Mungu umetufanya tuendelee kushikamana kama taifa na tunaishi kama moja ya mifano bora kabisa ya amani katika ukanda huu wa Afrika Mashariki. Hii ni tunu ambayo yatupasa kuitunza na moja ya njia za kutufanya tuifanikishe, ni kuishi katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Kuiga kwenu kunabomoa maadili yetu

'Nabembelezwa” ulikuwa ni moja ya nyimbo za Barnaba ambazo nilitokea kuzipenda sana. Lakini wimbo huo ilinikera pale video yake ilipotoka ikiwa na ‘Scene’ ambayo inawaonyesha watoto wa umri mdogo chini ya miaka saba wakipigana busu.

 

11 years ago

GPL

HONGERENI BONGO MUVI, WENGINE WAJIFUNZE KWENU!

Marehemu Adam Phillip Kuambiana. KWENU,Mastaa wa filamu za Kibongo. Najua mna simanzi nzito, bado hali zenu kisaikolojia hazipo sawa kutokana na misiba iliyowakuta hivi karibuni ya kuondokewa na Adam Kuambiana na Recho Haule. Siyo rahisi kupokea, lakini jikazeni, ni kazi ya Mungu.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mmeamua kuvuta sahani yote ya chakula kwenu?

SASA nimeelewa kwanini watu wengine hupiga magoti wanapoomba kura. Kumbe ukipata kura ni sawa na kupata kula eh? Chah! Iwezekane vipi mtu aliyefanya kazi kwa miaka mitano, tena bila kupima...

 

11 years ago

GPL

WABUNGE, MASTAA WA BONGO, NINA NENO KIDOGO KWENU!

Jackline Wolper. KWENU,
Mastaa wa sanaa mbalimbali Bongo na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.  Hongereni kwa kazi, kwa wasanii kuwaburudisha mashabiki wenu na kwa wabunge kwa kuwawakilisha wananchi katika majimbo yenu. Yes! Nina neno la kuzungumza nanyi, si lingine bali ni kuhusu tamasha kubwa sana nchini liitwalo Tamasha la Matumaini ambalo litachukua nafasi keshokutwa Ijumaa, Agosti 8 mwaka huu, Uwanja...

 

10 years ago

Mwananchi

VIONJO VYA WIKI: Ndoto za wagombea zinaweza kuwadhuru kwenu

Safari siku zote huanza na hatua! Huu, ni usemi ambao umekuwa ukisikika au kuangukia kwenye ngoma ya sikio lako kwa miaka mingi na kuna uwezekano kuwa utaendelea kuusikia tena na tena mwaka huu, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani