CCM MNAKIPASUA CHAMA BILA GANZI
![](http://api.ning.com:80/files/nMkb-Djjb3dU2rvkpbiboMW732pTSQlLVb8DktccNVSuxd2yp-zWOVHXeWDqZWoCZDW55qg5Pc1HFYHoqQHPVlRxR9mc1WNU/januarymakamba.jpg?width=650)
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba. Wiki iliyopita nilisoma habari iliyomhusu Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba ambaye alimtolea uvivu mshauri wa zamani wa Siasa wa Rais Jakaya Kikwete, Kingunge Ngombale Mwiru kwa kuupinga mchakato wa uteuzi wa mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kusema bila kupindapinda kuwa anakivuruga chama....soma...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo31 Jul
CHAMA CHA MAPINDUZI CCM ZANZIBAR CHATOA TAMKO JUU YA KUJITOA KWENYE CHAMA WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASA.
![unnamed (4)](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/unnamed-44.jpg)
![unnamed (5)](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/unnamed-53.jpg)
![unnamed (6)](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/unnamed-62.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
Hatuwezi kuadabisha viongozi bila kubadili chama!
NAJUA kwa wengi ni vigumu kukubali hili. Lakini ukweli mtupu ni kwamba kama tunataka mabadiliko ya kweli tunahitaji kubadili mfumo mzima wa uongozi wa nchi yetu kupitia sanduku la kura. ...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-y4G5rn7r2Mg/XuDXRxdDKhI/AAAAAAALtXE/CTIjtAhjhH0m50ZE7NcNosFlj6FtVeBGgCLcBGAsYHQ/s72-c/5..AA_-768x512.jpg)
MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM JIJINI DODOMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-y4G5rn7r2Mg/XuDXRxdDKhI/AAAAAAALtXE/CTIjtAhjhH0m50ZE7NcNosFlj6FtVeBGgCLcBGAsYHQ/s640/5..AA_-768x512.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/7-1AA-1024x803.jpg)
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 10 Juni 2020.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/8AA-1024x682.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/9AAA-1024x861.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/10AA-1024x682.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/12AAA-1024x682.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/13AA-1024x688.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/14AAA-1024x682.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/15AAA-1024x657.jpg)
10 years ago
Mwananchi30 Dec
Mwambusi: Ushindi umetutoa ganzi
11 years ago
Tanzania Daima02 Feb
Makonda awatia ganzi viongozi UVCCM
HATIMA ya Paul Makonda kuhusu kauli aliyoitoa dhidi ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa, itajulikana baada ya kumalizika kwa maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-n06lITZYOLA/U5cHe-2Z6MI/AAAAAAAAGc8/R7bU-qjuuQk/s72-c/WP_20140609_002.jpg)
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM (TAIFA) AWAAPISHA WANACHAMA 367 WAPYA WA CCM WILAYA YA NYASA MKOANI RUVUMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-n06lITZYOLA/U5cHe-2Z6MI/AAAAAAAAGc8/R7bU-qjuuQk/s1600/WP_20140609_002.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-KdnxJ1aW1n0/U5cI8AVOS6I/AAAAAAAAGeM/-12aGh-7FhU/s1600/WP_20140609_061.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-dq_xphw_C8g/U5cHYdx-vxI/AAAAAAAAGc0/1Q3GNwFdZxA/s1600/WP_20140609_010.jpg)
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Y_THANu9QmY/XuCzppVGHAI/AAAAAAALtUE/5gK-UzGSA-At22-447Wmuller_tdM9q5gCLcBGAsYHQ/s72-c/2.jpg)
MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DKT SHEIN JIJINI DODOMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-Y_THANu9QmY/XuCzppVGHAI/AAAAAAALtUE/5gK-UzGSA-At22-447Wmuller_tdM9q5gCLcBGAsYHQ/s640/2.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-kmU9tkQpRXw/XuCzqEoKK1I/AAAAAAALtUI/jpodPym8lAQdGJ4heYptcFe5CIBKSceNQCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
10 years ago
Habarileo30 Jul
‘CCM imara bila Lowassa’
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema aliyekuwa kada wake, Edward Lowassa aliingia katika chama hicho kwa ridhaa yake bila kushurutishwa hivyo ana haki ya kuhamia chama kingine, huku kikisisitiza kuwa kitashinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu na kuendelea kuongoza Dola.
10 years ago
Habarileo06 Jul
Shein apita bila jasho CCM
KIKAO cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM -Zanzibar kwa kauli moja imependekeza kwa Kamati Kuu jina la Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein kuteuliwa kuwania tena kiti cha Rais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa baadaye mwaka huu.