Mwambusi: Ushindi umetutoa ganzi
Kocha Mkuu wa Mbeya City, Juma Mwambusi amesema sasa wametoka kwenye ganzi baada ya kuiongoza timu yake kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ndanda FC juzi kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nMkb-Djjb3dU2rvkpbiboMW732pTSQlLVb8DktccNVSuxd2yp-zWOVHXeWDqZWoCZDW55qg5Pc1HFYHoqQHPVlRxR9mc1WNU/januarymakamba.jpg?width=650)
CCM MNAKIPASUA CHAMA BILA GANZI
11 years ago
Tanzania Daima02 Feb
Makonda awatia ganzi viongozi UVCCM
HATIMA ya Paul Makonda kuhusu kauli aliyoitoa dhidi ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa, itajulikana baada ya kumalizika kwa maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi...
11 years ago
Mwananchi16 Apr
Mwambusi ageuka ‘mbogo’
11 years ago
Mwananchi21 Apr
Mwambusi alalamikia waamuzi
9 years ago
Mwananchi01 Oct
Mwambusi amlilia Nyoso
9 years ago
Habarileo12 Oct
Mwambusi arithi mikoba ya Mkwasa
KLABU ya Yanga jana ilisaini rasmi mkataba wa mwaka mmoja na nusu na aliyekuwa Kocha Mkuu wa Mbeya City, Juma Mwambusi kuwa msaidizi wa Mholanzi Hans van der Pluijm.
10 years ago
Habarileo31 Jul
Mbeya City kuendelea na Mwambusi
UONGOZI wa klabu ya Mbeya City unajipanga kusaini mkataba mpya na kocha Juma Mwambusi baada ya kufikia makubaliano kati ya pande zote mbili mwishoni mwa juma hili.
10 years ago
Mwananchi13 Aug
Ziara Yanga yamkuna Mwambusi
11 years ago
Tanzania Daima29 May
Mwambusi Kocha Bora 2013/14
KOCHA wa timu ya Mbeya City, Juma Mwambusi, ameibuka Kocha Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara iliyofikia tamati Aprili 19, mwaka huu. Kwa ushindi huo, Mwambusi alijitwalia kitita cha sh...