CCM Tanga yawakemea viongozi miungu watu
HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC-CCM) Mkoa wa Tanga imekemea tabia ya watendaji wa serikali wanaojifanya miungu watu na kuzitaka mamlaka husika kuhakikisha wanawachukulia hatua za kisheria ili kukomesha...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies20 Apr
Wema Amewatolea Uvivu ‘Miungu Watu’ Wanaomtoa Kasoro!
Staa wa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu amewatolea uvivu baadhi ya watu ambao wameibuka kwa wingi mtandaoni wakiitoa karoso miguu ya staa huyo mara baada ya Wema kuweka picha kadhaa akiwa amevaa sketi amabayo inaonyesha miguu yake.
“Naomba niwaulize nyinyi mnaojiona miungu watu.... Mlitaka nijiongeze nyama miguuni kwangu au...? Ndo ilivyo na kuacha kuvaa nguo za kuionesha siwezi... Ntavaa tu... Yaani wala siwezi acha... Iwe mibaya iwe ina makovu iwe na michirizi ni ya Wema Sepetu... na...
11 years ago
MichuziKATAA UMEME FAMILY YAWAKEMEA WATU WANAOTUMIA PICHA ZAO KWENYE BIASHARA ZAO ZA MADAWA YA KUPUNGUZA UZITO
11 years ago
Michuzi27 Mar
Viongozi wa Siasa Muache Uswahili mtupatie katiba ya watu wote siyo ya CCM,AU CHADEMA,AU CUFU TUNATAKA KATIBA.
10 years ago
Vijimambo09 Sep
TSUNAMI YA CCM LEO MKOANI TANGA,WANANCHI WANAIMANI KUBWA NA CCM NA WANAAMINI MAGUFULI NI CHAGUO SAHIHI



10 years ago
Raia Mwema12 Aug
Ubeberu wa kiroho unatugawa kwa miungu wawili
KIPINDI kifupi kabla ya kuanza kwa kikao cha Bunge Maalum la Katiba (BMK) mwaka jana ili kupitia
Joseph Mihangwa
11 years ago
Tanzania Daima02 Sep
CHADEMA Tanga Mjini wapata viongozi wapya
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilaya ya Tanga kimepata viongozi wapya watakaokiongoza kwa miaka mitano ijayo katika uchaguzi uliyofanyika kwenye ukumbi wa maktaba ya Mkoa, juzi. Uchaguzi huo ulisimamiwa...
10 years ago
Habarileo17 Feb
Watu kadhaa mbaroni Tanga
SERIKALI imetoa taarifa rasmi kuhusu uhalifu uliotikisa mkoani Tanga, ikisema hali ni shwari na umma wa Watanzania upuuze taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikitia hofu.
11 years ago
Michuzi
MHE.RAIS AWATAKA VIONGOZI MKOANI TANGA KUSIMAMIA WATOTO KWENDA SHULE

Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE, THE STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR ES SALAAM. Tanzania. MHE.RAIS AWATAKA VIONGOZI MKOANI TANGA KUSIMAMIA WATOTO KWENDA SHULE
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amewataka viongozi kuhakikisha watoto wote wenye umri wa...
10 years ago
Vijimambo
MABASI YAPATA AJALI TANGA NA MOROGORO NA KUUWA WATU KADHAA

Inaelezwa kuwa basi la Ratco lilgongana kwanza na gari dogo na kisha kwenda kugongana uso kwa uso na basi la Ngorika...