CCM, Ukawa vifuate misingi ya usuluhishi
Tamko lililotolewa jana na CCM mjini Dodoma kwamba imemwagiza katibu mkuu wake, Abdulrahman Kinana kuendelea na jitihada za kupata mwafaka na vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Watanzania (Ukawa), limeibua mashaka kama kweli vyama hivyo vitapata mwafaka bila kufuata kanuni na misingi ya usuluhishi wa migogoro.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi25 Jun
CCM kuboresha misingi ya Ujamaa na kujitegemea
10 years ago
GPL25 May
10 years ago
Dewji Blog03 Apr
Katibu CCM Ikungi awajia juu viongozi wa Upinzani, awataka kuzingatia misingi ya utawala
![DSC04869](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/04/DSC04869.jpg)
![DSC04849](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/04/DSC04849.jpg)
9 years ago
Mtanzania26 Oct
CCM yailaumu Ukawa
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimelalamikia kitendo cha Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia, kusema watatangaza matokeo yao na kuwaamuru vijana wao waingie barabarani kushangilia.
Chama hicho kilisema kauli hizo zinazotolewa na viongozi hao wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ni za hatari kwa amani na usalama wa nchi na ujenzi wa demokrasia na inashangazwa ni kwanini...
10 years ago
Mwananchi12 Aug
CCM, Ukawa gumzo
11 years ago
Tanzania Daima02 Apr
UKAWA yaikwamisha CCM
JITIHADA za Chama Cha Mapinduzi (CCM) za kutaka kurekebisha kanuni za Bunge Maalumu la Katiba, ili kutumia wingi wake kupitisha ibara na sura za rasimu ya katiba kwenye kamati zimegonga...
11 years ago
Habarileo07 May
CCM waivimbia Ukawa
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetangaza kwamba hakina mpango wa kushawishi viongozi wa Serikali au viongozi wa kitaifa, wawalazimishe au wawabembeleze wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kurudi bungeni.
11 years ago
Tanzania Daima06 Jul
Tuwalaumu UKAWA au CCM?
NI takriban mwezi mmoja umesalia kabla ya Bunge Maalumu la Katiba kuanza vikao vyake mkoani Dodoma. Uhai wa Bunge hilo upo mikononi mwa wajumbe na viongozi wa Umoja wa Katiba...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
UKAWA, CCM wakwama
MAZUNGUMZO yanayoendelea kuhusu jinsi ya kunasua mchakato wa katiba mpya kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), yanaelekea kukwama kwa sababu yameingiliwa...