CCM wameshindwa, UKAWA tutawakwamua
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kuwa taifa liko kwenye mkwamo mkubwa wa kukosa uongozi imara kutokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kushindwa, hivyo amewaomba...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima26 Dec
Maaskofu: Watawala wameshindwa
BAADHI ya viongozi wa dini hapa nchini wamebainisha kuwa kukithiri kwa migomo na matatizo mbalimbali ni dalili za watawala kushindwa kazi. Wakihutubia kwenye mkesha na ibada ya Sikukuu ya Krismasi,...
10 years ago
Mwananchi15 Oct
‘Viongozi wameshindwa kumuenzi’ Nyerere’
11 years ago
Tanzania Daima09 Apr
Wanakiri wameshindwa lakini tunazidi kuwachagua!
SIASA zinafurahisha sana. Ila wananchi ambao ndio wanaofanyiwa siasa hizo wananifanya nibaki na maswali mengi zaidi ya majibu. Na haya yanayonishangaza ni kutokana na mambo mawili yaliyokuwa yakiendelea na kunifanya...
9 years ago
Mtanzania21 Dec
TANESCO wameshindwa kuzalisha umeme – Muhongo
NA FLORENCE SANAWA, MTWARA
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO), limeshindwa kuzalisha umeme na kusababisha Kiwanda cha Saruji cha Dangote kukodi genereta 75 kutoka nchini China kwa ajili ya kuzalisha umeme wa megawati 42.
Akizungumza wakati wa majumuisho ya ziara yake ya siku moja mkoani hapa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, alisema shirika hilo limeshindwa na halina uwezo wa kuzalisha umeme wa megawati 45 zinazohitajika kwa uzalishaji kiwandani hapo.
“TANESCO wamekuwa...
11 years ago
Tanzania Daima06 Jul
Tuwalaumu UKAWA au CCM?
NI takriban mwezi mmoja umesalia kabla ya Bunge Maalumu la Katiba kuanza vikao vyake mkoani Dodoma. Uhai wa Bunge hilo upo mikononi mwa wajumbe na viongozi wa Umoja wa Katiba...
11 years ago
Tanzania Daima02 Apr
UKAWA yaikwamisha CCM
JITIHADA za Chama Cha Mapinduzi (CCM) za kutaka kurekebisha kanuni za Bunge Maalumu la Katiba, ili kutumia wingi wake kupitisha ibara na sura za rasimu ya katiba kwenye kamati zimegonga...
10 years ago
Mwananchi12 Aug
CCM, Ukawa gumzo
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
UKAWA, CCM wakwama
MAZUNGUMZO yanayoendelea kuhusu jinsi ya kunasua mchakato wa katiba mpya kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), yanaelekea kukwama kwa sababu yameingiliwa...
9 years ago
TheCitizen20 Sep
CCM desperate : Ukawa