Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Viongozi wameshindwa kumuenzi’ Nyerere’

Baadhi ya wanasiasa na wananchi mjini Zanzibar, wamesema viongozi wengi wameshindwa kufuata kwa vitendo yale aliyofanya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati wa uhai wake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SHIWATA kumuenzi Mwalimu Nyerere

MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) umeandaa ibada maalum ya kumkumbuka Baba wa taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere itakayofanyika katika mashamba yao yaliyopo kijiji cha Ngarambe, Mkuramga mkoa wa Pawani.
Mwenyekiti wa SHIWATA, Cassim Taalib alisema jana kuwa katika ibada hiyo itaongozwa na Shekhe wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Musa Salum kwa upande wa Waislam na Padri John Solomon kwa upande wa Wakristo.
Taalib alisema katika ibada hiyo Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Mercy Silla na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Acheni kumuenzi Nyerere kinafiki

UNAFIKI ni hali au tendo la kujifanya kuwa mkweli au kujidai kuwa ni rafiki kumbe ni adui. Zaidi ya robo tatu ya viongozi tulionao baada ya Mwalimu Julius Nyerere ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Tuseme kweli, tunajidanganya si kumuenzi Mwalimu Nyerere

Ifikapo kesho, yaani Oktoba 14, Tanzania itakuwa imefikisha miaka 15 tangu ilipompoteza mwasisi wake, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

 

9 years ago

Vijimambo

JK AONGOZA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MWENGE WA UHURU DODOMA, NA KUMUENZI BABA WA TAIFA MWAL. JK NYERERE

Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa Ndugu Juma Khatib Chum akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mwenge wa uhuru wakati wa sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge zilizofanyika katika Uwanja wa Michezi wa Jamhuri mjini Dodoma leo Oktoba 14, 2015. Kilele hicho cha mbio za Mwenge kimekwenda sambamba na maadhimisho ya miaka 16 tangu kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

 

11 years ago

Mwananchi

Askofu Tutu: Viongozi wa dunia hatuna budi kumuenzi Mandela

Mshindi wa Nishani ya Amani ya Nobel, Askofu Desmond Tutu amesema ana imani kwamba viongozi wanaotaka umashuhuri duniani watafuata mfano wa Nelson Mandela.

 

10 years ago

Mwananchi

Viongozi wa Afrika wamuenzi Mwalimu Nyerere

Umoja wa Nchi za Afrika (AU) umetoa heshima na kumuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kwa kuita jina lake moja ya majengo yake katika makao makuu ya umoja huo mjini Addis Ababa, Ethiopia.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maaskofu: Watawala wameshindwa

BAADHI ya viongozi wa dini hapa nchini wamebainisha kuwa kukithiri kwa migomo na matatizo mbalimbali ni dalili za watawala kushindwa kazi. Wakihutubia kwenye mkesha na ibada ya Sikukuu ya Krismasi,...

 

10 years ago

Vijimambo

VIONGOZI WATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA JOHN NYERERE


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu John  
Nyerere, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Msasani, jijini Dar es Salaam leo Mei 11, 2015. Marehemu John anatarajia kuzikwa keshokutwa nyumbani kwao Butiama. Picha na OMR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwafariji wanafamilia baada ya kutoa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CCM wameshindwa, UKAWA tutawakwamua

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kuwa taifa liko kwenye mkwamo mkubwa wa kukosa uongozi imara kutokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kushindwa, hivyo amewaomba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani