Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM wote wanawaza kama JK?

MWENYE kujua swali hili naomba anisaidie jibu. Kwanini wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hawataki kutumia akili zao kufikiri, badala yake wanaabudu kile anachokisema Mwenyekiti wao wa Taifa, Jakaya Kikwete?...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Kama watatengeneza ndege kama hii, basi ajali ikitokea inawezekana abiria wakaokolewa wote

Wanasema usafiri wa ndege ni usafiri salama zaidi duniani…. kwenye hii jamaa wamewaza ni jinsi gani abiria wanaweza kutolewa kwenye ndege bila shida… kwenye hii video hapa chini utaweza kujionea mwenyewe… ili kuitazama video subiria sekunde kadhaa itatokea. A inovação na tecnologia e indústria aeronáutica continua a surpreender. Este modelo apresenta uma estrutura completa maciça […]

The post Kama watatengeneza ndege kama hii, basi ajali ikitokea inawezekana abiria wakaokolewa wote appeared...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kama mwili wote ungekuwa jicho…!

p>TUMESHUHUDIA sote hapa nchini  jinsi vyama vya siasa vyenye ushawishi mkubwa vinavyosambaratika vikifikia hatua nzuri ya kuelekea Ikulu. NCCR-Mageuzi kilisambaratika na Chama cha Wananchi (CUF) nacho kikasambaratika kiaina. Sasa mgogoro...

 

10 years ago

Vijimambo

Wachaga Wamegawanyika Kama ifuatavyo, Sio Wote ni Wajanja!


Wachaga wamegawanyika kama ifuatavyo, sio wote wajanja. Kuna:-1. Warombo wajanja sana kibiashara/wezi pia, wameajiri Wamarangu mjini ni walevi sana hupeleka wake zao vijijini wakileta kiburi mjini. Wanawake zao ni mama Huruma, wanaachia tu.. Ukioa mrombo ujue umeolea kijiji.
2. Kuna Wamarangu wazuri sana wa sura na umbo wanawachuna Warombo. Wanawake wana dharau sana na wanaume ni waoga kuliko wanawake. Mwanaume wa Marangu kupigwa na mkewe si jambo la ajabu.
3. Kuna Wakibosho wanafanana na...

 

9 years ago

Vijimambo

VIONGOZI WOTE WA CCM WA KATA YA MKOMAZI NA WAPIGA KURA 1,400 WA CCM WAHAMIA CHADEMA


Viongozi wote wa CCM wa kata ya mkomazi na pamoja na wapiga kura 1,400 wa eneo hilo wilayani Korogwe wamejiunga na CHADEMA huku baadhi yao wakiamua kugombea nafasi mbali mbali za uongozi kwa tiketi ya chama hicho.

Wakizungumza katika mkutano wa kampeni ulifanyika katika kijiji cha mikocheni kilichopo kata ya mkomazi wilayani Korogwe baadhi ya viongozi hao pamoja na wengine wa CCM katika kata sita waliokatwa majina yao katika zoezi la kura za maoni kwa tiketi ya CCM wamesema  wameamua kujiunga...

 

9 years ago

Bongo5

Timbaland awataja Tupac na Notorious B.I.G. kama rappers bora wa muda wote

Timbaland amedai kuwa Tupac na Notorious B.I.G. ndio rappers bora wa muda wote. Producer huyo mahiri alisema hayo kwenye mahojiano na kipindi cha ESPN cha First Take na kuulizwa ni rappers gani wakali kuwahi kutokea kwenye muziki wa hip hop. Pamoja na kuwataja rappers hao marehemu alimpa sifa zake pia Jay Z anayemchukulia kama kaka […]

 

10 years ago

Bongo5

PAPASO: Sidhani kama wasanii wote wa filamu hawajatulia, mimi nimetulia — Salma Jabu (Nisha)

Muigizaji wa filamu Tanzania, Salma Jabu a.k.a Nisha amefunguka mambo mengi yanayomhusu ikiwemo filamu, mahusiano yake, tuhuma za kuwa miongoni mwa wasanii wa kike wanaosemwa kwa kuvaa nusu utupu nk. Amezungumza hayo kupitia mahojiano na kipindi cha Papaso cha TBC Fm na D’Jaro Arungu ambacho hurushwa kupitia TBC 1.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani