Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM yalia na watumishi wahujumu



Na Ahmed Makongo, Bunda CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mara, kimesema baadhi ya watumishi wa serikali mkoani humo, wanaihujumu serikali pamoja na ilani ya uchaguzi ya Chama. Katika madai yake hayo, CCM imesema watumishi hao wanafanya hivyo kwa kutokuwajibika ipasavyo katika kutekeleza majukumu yao ikiwa pamoja na kusimamia kikamilifu utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Christopher Sanya, alitoa shutuma hizo kwa nyakati na maeneo tofauti, wakati...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

DAWASCO YALIA NA WAHUJUMU WA MIUNDOMBINU YA MAJI JIJINI

Licha ya jitihada zinazoendelea kufanywa kuzuia uhujumu miundombinu ya Majisafi na wizi wa Maji, hujuma nyingine kubwa ya chuma chakavu za MAJITAKA imebainika baada ya DAWASCO kukamata mifuniko ya Majitaka katika kiwanda cha nondo cha IRON&STEEL cha jijini Dar es salaam.
 Vyuma Chakavu hivyo ambavyo ni mifuniko ya chemba za Majitaka za DAWASCO zimebainika baada ya uchunguzi wa kina na taarifa kutoka kwa wasamaria wema kuhusu upatikanaji wa mifuniko hiyo kiwandani hapo.
Afisa Uhusiano...

 

11 years ago

Habarileo

Wakurugenzi, watumishi wahujumu kukiona

Kassim MajaliwaSERIKALI imesema itaendelea kuchukua hatua kali za kisheria ikiwamo kuwashusha vyeo baadhi ya wakurugenzi na watumishi wa halmashauri za wilaya nchini ambao kwa namna moja au nyingine watakutwa na tuhuma mbalimbali katika halmashauri zao.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wataka wahujumu uchumi wanyongwe

ILI kudhibiti vitendo vya rushwa, ufisadi na uhujumu uchumi kwa viongozi wa umma wasio waadilifu, baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wamependekeza Katiba mpya, itamke adhabu ya kifo...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yasaka wahujumu mafuta

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles MwijageSERIKALI imeanza msako wa mtu au watu waliohusika na hujuma ya mafuta, kwa kutouzia wateja wa reja reja, pamoja na wanaosambaza ujumbe mfupi wa maandishi, kutisha kuwa mafuta hayatapatikana hadi leo.

 

10 years ago

Habarileo

JK aonya wahujumu wa Katiba mpya

Rais Jakaya Kikwete akiwa na wakuu wapya wa wilaya aliowateua hivi karibuni baada ya kufungua semina elekezi ya uongozi mjini Dodoma juzi. Kushoto walioketi ni Katibu Mkuu wa Tamisemi, Jumanne Sagini, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, Waziri wa Tamisemi, Hawa Ghasia, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa na Naibu Waziri wa Tamisemi, Aggrey Mwanri. (Picha na Freddy Maro).RAIS Jakaya Kikwete ameziagiza mamlaka za ulinzi na usalama kuhakikisha shughuli ya kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura, upigaji kura ya Katiba Inayopendekezwa unafanyika kwa amani na wasioitakia mema nchi wasibadilishe matukio hayo kuwa fujo na kuingiza nchi kwenye vurugu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TANESCO kuanza operesheni kusaka wahujumu

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza operesheni ya kuwasaka na kuwakamata watu wanaojihusisha na vitendo vya kuhujumu mali za shirika hilo mkoani Shinyanga. Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Injinia Felchesmi Mramba,...

 

11 years ago

Habarileo

Watu wasiojulikana wahujumu gridi ya Taifa

WATU wasiojulikana wilayani Kahama, wameangusha nguzo mbili kubwa za chuma zinazosafirisha umeme wa gridi ya Taifa na kuchukua baadhi ya vyuma. Hali hiyo imesababisha maeneo kadhaa mikoa ya Mwanza, Geita na Shinyanga kukosa umeme.

 

10 years ago

Dewji Blog

Taasisi ya Watumishi Housing kutumia bilioni 400 kujenga nyumba za watumishi wa serikali

4.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Watumishi Housing Company, Dkt. Fred Msemwa akitoa mada kuhusu mkopo wa ujenzi wa nyumba bora za kisasa kwa watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakati wa warsha ya siku moja iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Agosti 14, 2014.

Na Ismail Ngayonga, MAELEZO-Dar es Salaam.

TAASISI ya Watumishi Housing Company imetenga kiasi cha Tsh. Bilioni 400 kwa ajili ya ujenzi za watumishi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Wanaoingiza vilainishi feki ni wahujumu uchumi

>Moja ya matatizo makubwa yanayochangia kudorora kwa uchumi wa nchi yetu ni ukosefu wa uwajibikaji serikalini na katika mashirika ya umma. Miradi mingi imekwama kwa kukosa usimamizi wa karibu kwa upande wa watendaji waliopewa dhima ya kuisimamia, ingawa wanapewa nyenzo za kutosha, mishahara minono na posho ambazo hazina hesabu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani