Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM yaonyesha njia matumizi ya Tehama

>Mchakato wa uteuzi wa mgombea urais wa CCM umeonyesha dhahiri maendeleo ya matumizi ya teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), baada ya chama hicho kutumia mitandao ya kijamii kutoa habari muhimu za maendeleo ya mikutano yake iliyomalizika mjini Dodoma jana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

DCB Yaonyesha Njia Kwa Wasanii wa Filamu

DCB Commercial Bank imefungunga njia kwa wasanii wa filamu baada ya kuwashirikisha katika kampeni za kutoa elimu kwa wateja wa kibenki kupitia njia ya filamu, Benki hiyo ambayo toka kuanza kwake imekuwa na mafanikio makubwa imetengeneza filamu maalum inayojulikana kwa jina la DESIRE TO SUCCEED (HAMU YA MAFANIKIO).

Benki hiyo inayofanya vema katika taasisi za Kibenki baada ya kufanya utafiti ni njia ipo rahisi kuifikia jamii waligundua kuwa filamu inapendwa na watu wengi, ndipo wakaona...

 

10 years ago

Tanzania Daima

TPSF yasisitiza matumizi ya Tehama

TANZANIA imeshauriwa kujikita zaidi katika matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) ili kuimarisha utendaji wa biashara hasa mipakani. Imesemekana pamoja na kuwepo kwa mifumo mingi inayoweza kusaidia kuongeza...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI KUDHIBITI MATUMIZI MABAYA YA TEHAMA.

 Makamu Mkuu wa Chuo cha Bagamoyo.Profesa Costa Mahalu akizungumza na waandishi wa habari leo juu ya utumiaji wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) katika semina iliyofanyika leo katika hoteli ya New Afrika,Jijini Dar es Salaam.Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi,Teknolojia na Mawasiliano,Profesa Patrick Makungu akizungumza na waandishi wa habari leo juu ya utumiaji wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) katika semina iliyofanyika leo katika hoteli ya New Afrika,Jijini Dar es...

 

10 years ago

Habarileo

Viongozi wa dini waomba matumizi mazuri ya tehama

WATANZANIA wametakiwa kutumia vizuri teknolojia ya mawasiliano kwani inapotumika vibaya inakuwa chanzo cha matatizo.

 

5 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YABORESHA MATUMIZI YA TEHAMA KUDHIBITI CORONA

Na Magreth Kinabo- Mahakama
TEHAMA

Mahakama ya Tanzania imesikiliza jumla ya mashauri 1,519 kupitia Mahakama Mtandao (Video Conferencing) kati ya Machi 23 hadi Aprili 21mwaka huu ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Jaji Mkuu wa Tanzania alilolitoa Machi 23 mwaka huu.

Ambapo akiitaka Mahakama kutumia Tekknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika kupambana na ugonjwa wa COVID 19 unaosababishwa na virusi vya Corona.

Mkurugenzi Msaidizi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wa Mahakama...

 

5 years ago

Ykileo

UKUAJI WA MATUMIZI YA TEHAMA WAONGEZA UHALIFU MTANDAO

Mataifa mengi yameendelea kuwekeza katika sekta ya TEHAMA ili kurahisisha huduma mbali mbali kwa jamii za mataifa husika – Ikiwa ni pamoja na mawasiliano, huduma za Afya, kifedha na hata usafirishaji ambapo TEHAMA imekua ikitumika kwa kiwango cha juu zaidi tofauti na miaka iliyopita.


---------------------

UPDATE:Apple has addressed a glitch that caused some iPhones to unexpectedly start auto-correcting the letter "i" to a capital "A" and a question mark.

--------------------


Kuwepo na Kinacho...

 

9 years ago

Michuzi

MATUMIZI YA TEHAMA SERIKALINI YAONGEZA UFANISI KATIKA UKUSANYAJI WA MAPATO

Na.Aron Msigwa - MAELEZO,ARUSHA
Matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika ukusanyaji wa mapato ya Serikali yamepunguza upotevu wa mapato uliokuwa ukisababishwa na watendaji wasio waaminifu.
Kauli hiyo imetolewa jana jijini Arusha na Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Bw. Adorf Mapunda wakati akifunga awamu ya kwanza ya mkutano wa mwaka wa Serikali Mtandao uliowahusisha maafisa TEHAMA,Rasilimali watu,Utawala na Maafisa Habari kutoka maeneo mbalimbali nchini.
Amesema mabadiliko...

 

9 years ago

Michuzi

WANAWAKE NA WATOTO WA KIKE BADO WAPO NYUMA KATIKA MATUMIZI YA TEHAMA

Balozi Tuvako Manongi, Mwakilishi wa Kudumu wa   Tanzania katika Umoja wa Mataifa  akizungumza wakati wa Mkutano wa Ngazi ya Juu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu Teknolojia ya  Habari na Mawasiliano kwa Maendeleo. Mkutano huo wa siku mbili umefanyika hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani
Na  Mwandishi Maalum,  New York

Wanawake na watoto wa kike wanaelezwa kama kundi ambalo bado  halijanufaika ipasavyo na  matumizi ya   Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani