Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAWAKE NA WATOTO WA KIKE BADO WAPO NYUMA KATIKA MATUMIZI YA TEHAMA

Balozi Tuvako Manongi, Mwakilishi wa Kudumu wa   Tanzania katika Umoja wa Mataifa  akizungumza wakati wa Mkutano wa Ngazi ya Juu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu Teknolojia ya  Habari na Mawasiliano kwa Maendeleo. Mkutano huo wa siku mbili umefanyika hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani
Na  Mwandishi Maalum,  New York

Wanawake na watoto wa kike wanaelezwa kama kundi ambalo bado  halijanufaika ipasavyo na  matumizi ya   Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Kusherehekea wiki ya wanawake duniani Vodacom yatoa hamasa kwa watoto wa kike kujifunza Tehama


Mwanafunzi wa kidato cha nne, shule ya sekondari Kinyerezi jijini Dar Es Salaam, Rahma Seif akielezea namna ya kujisomea kupitia mfumo wa Instant Schools unaowezesha kupata  materials‘ kwa njia ya mtandao bure kutoka Vodacom. Hii ni hamasa iliyowekwa na Vodacom kuelekea siku ya wanawake Duniani kwa mtoto wa kike kupenda masomo ya sayansi yenye kauli mbiu I am the face of Tech.Mkuu wa Idara ya IT na Miradi Vodacom Tanzania PLC, Cleopatra Mukangara akitoa zawadi kwa wanafunzi mbalimbali wa...

 

9 years ago

Michuzi

MATUMIZI YA TEHAMA SERIKALINI YAONGEZA UFANISI KATIKA UKUSANYAJI WA MAPATO

Na.Aron Msigwa - MAELEZO,ARUSHA
Matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika ukusanyaji wa mapato ya Serikali yamepunguza upotevu wa mapato uliokuwa ukisababishwa na watendaji wasio waaminifu.
Kauli hiyo imetolewa jana jijini Arusha na Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Bw. Adorf Mapunda wakati akifunga awamu ya kwanza ya mkutano wa mwaka wa Serikali Mtandao uliowahusisha maafisa TEHAMA,Rasilimali watu,Utawala na Maafisa Habari kutoka maeneo mbalimbali nchini.
Amesema mabadiliko...

 

11 years ago

Habarileo

Watoto 15,000 wapo katika ajira mbaya

ZAIDI ya watoto 15,000 wamebainika kujiingiza katika ajira mbaya katika visiwa vya Unguja na Pemba.

 

11 years ago

GPL

HIVI HAWA MAJAMAA BADO WAPO?

MAMBO vipi maanko, mnaenda sawa? Nimesikia wengi mko likizo hivi sasa, lakini baada ya muda siyo mrefu, mtarejea tena mashuleni kuendeleza libeneke. Sisi tunaendelea na msoto, kidogo angalau sasa hivi jamaa wa Brazuka wanatufariji. Nimeangalia mechi kadhaa za kombe la dunia na kugundua kuwa waafrika wengi (ukiacha wenye timu shiriki) wanashangilia timu za Afrika ‘kinazi’ tu. Hakuna shabiki wa kweli kutoka Tanzania...

 

9 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wa Uganda bado wapo S Kusini

Uganda inasema wanajeshi wake bado wako Sudan Kusini ingawa siku ya kuondoshwa huko imefika

 

10 years ago

Tanzania Daima

TPSF yasisitiza matumizi ya Tehama

TANZANIA imeshauriwa kujikita zaidi katika matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) ili kuimarisha utendaji wa biashara hasa mipakani. Imesemekana pamoja na kuwepo kwa mifumo mingi inayoweza kusaidia kuongeza...

 

10 years ago

Mwananchi

CCM yaonyesha njia matumizi ya Tehama

>Mchakato wa uteuzi wa mgombea urais wa CCM umeonyesha dhahiri maendeleo ya matumizi ya teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), baada ya chama hicho kutumia mitandao ya kijamii kutoa habari muhimu za maendeleo ya mikutano yake iliyomalizika mjini Dodoma jana.

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI KUDHIBITI MATUMIZI MABAYA YA TEHAMA.

 Makamu Mkuu wa Chuo cha Bagamoyo.Profesa Costa Mahalu akizungumza na waandishi wa habari leo juu ya utumiaji wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) katika semina iliyofanyika leo katika hoteli ya New Afrika,Jijini Dar es Salaam.Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi,Teknolojia na Mawasiliano,Profesa Patrick Makungu akizungumza na waandishi wa habari leo juu ya utumiaji wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) katika semina iliyofanyika leo katika hoteli ya New Afrika,Jijini Dar es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani