Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoto 15,000 wapo katika ajira mbaya

ZAIDI ya watoto 15,000 wamebainika kujiingiza katika ajira mbaya katika visiwa vya Unguja na Pemba.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WANAWAKE NA WATOTO WA KIKE BADO WAPO NYUMA KATIKA MATUMIZI YA TEHAMA

Balozi Tuvako Manongi, Mwakilishi wa Kudumu wa   Tanzania katika Umoja wa Mataifa  akizungumza wakati wa Mkutano wa Ngazi ya Juu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu Teknolojia ya  Habari na Mawasiliano kwa Maendeleo. Mkutano huo wa siku mbili umefanyika hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani
Na  Mwandishi Maalum,  New York

Wanawake na watoto wa kike wanaelezwa kama kundi ambalo bado  halijanufaika ipasavyo na  matumizi ya   Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (...

 

10 years ago

Michuzi

JUMLA YA WASICHANA 6,000 MKOANI MTWARA WAPO KATIKA NAFASI NZURI YA KUJIKINGA NA MIMBA NA VIRUSI VYA UKIMWI

Jumla ya wasichana 6,000 mkoani Mtwara walio kwenye umri wa balehe sasa wapo katika nafasi nzuri ya kujikinga na mimba za umri mdogo zinazowasababishia kuacha shule pamoja na kujikinga na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi.    
Akiongea na gazeti hili jijini Dar es Salaam jana, Meneja uhusiano na mawasiliano wa T-MARC Tanzania Maurice Chirimi alisema mafanikio hayo yametokana na mradi unaojulikiana kama ‘Hakuna Wasichoweza’ unaotekelezwa na T-MARC kwa ufadhili wa Shirika la Misaada la Marekani...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jumla ya wasichana 6,000 Mkoani Mtwara wapo katika nafasi nzuri ya kujikinga na mimba pamoja na virusi vya Ukimwi

001.Tanzania

Na Mwandsihi Wetu

Zaidi ya jumla ya wasichana 5,784 mkoani Mtwara walio kwenye umri wa balehe sasa wapo katika nafasi nzuri ya kujikinga na mimba za umri mdogo zinazowasababishia kuacha shule pamoja na kujikinga na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi                     

Akiongea na gazeti hili jijini Dar es Salaam jana, Meneja uhusiano na mawasiliano wa T-MARC Tanzania Maurice Chirimi alisema mafanikio hayo yametokana na mradi unaojulikiana kama ‘Hakuna Wasichoweza’ unaotekelezwa na T-MARC kwa...

 

10 years ago

GPL

JUMLA YA WASICHANA 6,000 MKOANI MTWARA WAPO KATIKA NAFASI NZURI YA KUJIKINGA NA MIMBA NA VIRUSI VYA UKIMWI‏

Baadhi ya wanafunzi wa kike wakipata semina kutoka  T-MARC kwa ufadhili wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID). Wanafunzi wa kike wakiwa wenye furaha baada ya semina T-MARC kwa ufadhili wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID).…

 

10 years ago

Michuzi

Elimu ya kidigitali ya Vodafone Foundation kuwanufaisha watoto 15,000 katika kambi za wakimbizi

Taasisi ya Vodafone Foundation leo imetangaza kuwa mpango wake wa kutoa elimu kidigitali umewezesha jamii zinazoishi kwenye mazingira magumu yanayosababishwa na majanga mbalimbali na  kujikuta zikiishi kwenye kambi za wakimbizi kuweza  kupata elimu.
Mpango huu wa   unatekelezwa katika  maeneo yenye mazingira magumu ambako kuna matatizo ya kutokuwepo nishati ya umeme na  upatikanaji wa mawasiliano hususani ya mtandao wa interneti na umeweza kutekelezwa kwa ushirikiano na Shirika la Umoja wa...

 

10 years ago

Michuzi

Elimu ya kidigitali ya Vodafone Foundation kuwanufaisha watoto 15,000 katika kambi za wakimbizi: kutekelezwa Tanzania,Kenya na DRC

  Taasisi ya Vodafone Foundation leo imetangaza kuwa mpango wake wa kutoa elimu kidigitali umewezesha jamii zinazoishi kwenye mazingira magumu yanayosababishwa na majanga mbalimbali na  kujikuta zikiishi kwenye kambi za wakimbizi kuweza  kupata elimu.
Mpango huu wa   unatekelezwa katika  maeneo yenye mazingira magumu ambako kuna matatizo ya kutokuwepo nishati ya umeme na  upatikanaji wa mawasiliano hususani ya mtandao wa interneti na umeweza kutekelezwa kwa ushirikiano na Shirika la Umoja wa...

 

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI LIGI KUU BARA : Mtibwa; wapo wapo tu, wanaishi kwa mazoea

Msimu mwingine kwa Mtibwa Sugar. Ni rahisi kutabiri kwamba maisha yao yataendelea kuwa vile vile kama ilivyokuwa kwa msimu uliopita. Wapo katika Ligi kwa misimu 18 mfululizo tangu walipopanda Ligi Kuu mwaka 1996.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ajira 700,000 kuzalishwa

SERIKALI imesema ajira 700,000 zinatarajiwa kuzalishwa nchini katika mwaka wa fedha 2014/2015. Taarifa hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka, wakati akiwasilisha makadirio ya...

 

5 years ago

AnandTech

Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19

Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19  AnandTechView Full coverage on Google News

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani