CCM YASITISHA MIKUTANO KUKABILIANA NA CORONA NA YAMTAHADHRISHA MBOWE
![](https://1.bp.blogspot.com/-hPLHGFZIFqY/XnCkAECqEvI/AAAAAAAC1Hg/xh5Md5__YW8JcyPJj1VSjItDtCvX7pHZgCLcBGAsYHQ/s72-c/ETTV2m4WsAA11uz.jpg)
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesitisha shughuli zenye mikusanyiko ya watu wengi, ikiwa ni hatua za kudhibiti kuenea kwa virusi vya Corona Ugonjwa huo ulioanzia katika mji wa Wuhan, China Desemba, 2019 na baadaye kuanza kusambaa nchi mbalimbali umesababisha vifo vya watu zaidi ya 4,500 huku Tanzania ikiwa nchi ya tatu Afrika Mashariki kuwa na mgonjwa wa corona baada ya Kenya na Rwanda.
Agizo hilo limetolewa leo tarehe 17 Machi 2020 na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili16 Jun
Virusi vya corona: Marekani yasitisha matumizi ya dawa ya hydroxychloroquine kutibu corona
5 years ago
BBCSwahili04 May
Virusi vya corona: Je magari yenye huduma za 'kukabiliana' na corona China ni 'njama'?
5 years ago
BBCSwahili12 May
Virusi vya Corona: Iran yaamua kufungua misikiti licha masharti ya kukabiliana na corona
5 years ago
BBCSwahili11 May
Virusi vya corona: Jinsi ‘mazishi ya kisiri’ Afrika Kusini huenda ikasaidia kukabiliana na corona
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Jfer_RFw5JM/XnC7NHY7dZI/AAAAAAALkF8/NYeLpw-kBOkiatkhKEmezdY_u1XFDG-ZQCLcBGAsYHQ/s72-c/download-6.jpg)
CAF YASITISHA MASHINDANO YA CHAN KUHOFIA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-Jfer_RFw5JM/XnC7NHY7dZI/AAAAAAALkF8/NYeLpw-kBOkiatkhKEmezdY_u1XFDG-ZQCLcBGAsYHQ/s400/download-6.jpg)
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limeahirisha Mashindao ya Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ndani (CHAN) kufuatia kuongezeka kwa maambukizi ya COVID19 (virusi vya corona)Mashindano hayo yalipaswa kuanza April 04 mpaka April 25 2020 huko Cameroon.
Tanzania ni miongoni mwa timu zilizokuwa zishiriki mashindano hayo ambapo kikosi cha Stars bado kiko kambiniBaada ya uamuzi huo ni wazi kambi itavunjwa na wachezaji kurejea kwenye timu zao kuendelea na ligi kuu (kama TFF...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-PYUwYRg0vVU/XnWw5H7LzxI/AAAAAAALknM/3nsdacw3ToUjTMm_NqU-EA74HgHFaJbWwCLcBGAsYHQ/s72-c/PICHA-1.png)
Corona yasitisha uchaguzi wa viongozi wa CWT Ngazi za wilaya
![](https://1.bp.blogspot.com/-PYUwYRg0vVU/XnWw5H7LzxI/AAAAAAALknM/3nsdacw3ToUjTMm_NqU-EA74HgHFaJbWwCLcBGAsYHQ/s640/PICHA-1.png)
Katibu wa chama cha walimu CWT mkoa wa Njombe Mwalimu Fraten
KwaisonNa Amiri kilagalila,Njombe
Kutokana na tishio la ugonjwa wa Corona (COVID 19) unaeoendelea kuenea nchi nyingi Duniani huku Tanzania ikifikia wagonjwa 6 mpaka sasa kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na waziri wa afya maendeleo ya jamii, jinsia na watoto Ummy Mwalimu.
Katibu wa chama cha walimu CWT mkoa wa Njombe Mwalimu Fraten Kwaison amesema kutokana na agizo la serikali kuwataka watanzania kutokujihusisha na mikusanyiko...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-kB238HMM_VA/Xm4Woqw5FvI/AAAAAAALjvY/wMk46mT5AeE9aofmg9UUJX1GvtYcSVM2ACLcBGAsYHQ/s72-c/66bd3974-9bf8-412d-a965-db8aecfd0ecf%2B%25281%2529.jpg)
SERIKALI YASITISHA MASHINDANO YA UMISETA/UMITASHUMTA KUHOFIA MAAMBUKIZI YA CORONA
Charles James, Michuzi TV
Serikali imesitisha mashindano ya michezo kwa wanafunzi katika ngazi ya Shule ya Msingi na Sekondari (Umiseta, Umitashumta) yaliyokua yafanyike hivi karibuni kutokana na tishio la maambukizi ya ugonjwa wa Corona hadi hapo itakapotangazwa baadae.
Akizungumza na wandishi wa habari leo jijini Dodoma, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Selemani Jafo amesema pamoja na kusitisha mashindano hayo pia shule zitakazofanya mahafali ya kidato cha sita hazitoruhusiwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-qzAfK3w4T-Q/XnC4wxmvAFI/AAAAAAALkFA/mvu8kMtjtDY-bqxIA9S9UF2wftTa3k_sQCLcBGAsYHQ/s72-c/47ca69ff-2a20-4c75-b4e1-b45efa496c95.jpg)
WIZARA YA ELIMU YASITISHA SHEREHE ZA UFUNGUZI MASHINDANO YA MAKISATU KUEPUKA CORONA
Charles James, Globu ya Jamii
KATIKA kuchukua tahadhari ya maambukizi ya ugonjwa wa Corona kwenye maeneo mbalimbali, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imehairisha sherehe za ufunguzi wa mashindano ya kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu zilizokua zifanyike leo jijini Dodoma.
Akizungumza leo katika uwanja wa Jamhuri ambapo mashindano hayo yanafanyika, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof James Mdoe kwa niaba ya Waziri wa Elimu, Prof Joyce Ndalichako...
5 years ago
BBCSwahili26 May
Virusi vya corona: WHO yasitisha majaribio ya dawa ya Hydroxychloroquine na kutoa onyo