Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CDA wabomoa nyumba 140 Dodoma

ZAIDI ya nyumba 140 mjini Dodoma zimebomolewa na Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) kutokana na wananchi kujenga kiholela katika maeneo yasiyoruhusiwa huku Jeshi la Polisi likilazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliokuwa wakileta fujo ikiwemo kufunga barabara kuu ya Dodoma – Singida.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

CDA yatembeza nyundozz kwa nyumba zaidi ya 65 Mlimwa kusini manispaa ya Dodoma

 Tingatinga la Mamraka ya ustawishaji makao makuu [CDA] likibomoa moja ya nyumba zilizopo katika hifadhi ya Barabara inayotarajiwa kuanza kujengwa havi karibuni, ambapo zaidi ya nyumba 65 zilibomolewa katika eneo hilo la mlamwa kusini.
 Wanawake wa mtaa wa Mlimwa wakimsaidia Mwenzao aliyezirai baada ya Tingatinga la CDA kufika kwa ajili ya kubomoa nyumba yake kwa ajili ya kupisha ujenzi wa Barabara, zoezi hilo lilifanyika Jana ambapo nyumba zaidi ya 65 zilibomolewa na kuacha familia...

 

11 years ago

GPL

CDA YABOMOA NYUMBA ZAIDI YA 65 MLIMWA KUSINI DODOMA‏, WANANCHI WAHAHA

 Tingatinga la Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu [CDA], likibomoa moja ya nyumba zilizopo katika hifadhi ya Barabara inayotarajiwa kuanza…

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda akutana na wadau wa CDA Dodoma

PG4A5275

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wadau wa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA) mjini Dodoma Sep 12,2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A5278

Baadhi ya washiriki wa  Mkutano  wa  wadau wa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA) wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza nao mjini Dodoma Sep 12,2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A5281

PG4A5282

PG4A5283

 

10 years ago

Daily News

Dodoma meeting to deliberate CDA challenges


Daily News
Dodoma meeting to deliberate CDA challenges
Daily News
PRIME Minister, Mizengo Pinda is expected to chair a meeting to discuss challenges facing the Capital Development Authority (CDA) and residents, following a directive from President Jakaya Kikwete. The meeting is also expected to be attended by Dodoma ...

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AKUTANA NA WADAU WA CDA MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wadau wa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA) mjini Dodoma Sep12,2014. Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa wadau wa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA) wakimsikiliza Waziri Mkuu, MIzengo Pinda wakati alipozungumza nao mjini Dodoma Sep12,2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

11 years ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI MKOA WA DODOMA DAVID MISIME - SACP AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WAMILIKI WA HOTELI NA NYUMBA ZA KULALA WAGENI MKOANI DODOMA

Na Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.   Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME (SACP) amewataka wamiliki wa Hotel na Nyumba za kulala wageni (Guest House) kuhakikisha kwamba wageni wanaotarajia kuingia mkoani humo ambao ni wajumbe wa bunge la Katiba linalotarajia kuanza tarehe 18/02/2014 wanakuwa salama katika kipindi hiki.   Amesema hayo katika ukumbi wa Dodoma Hotel alipokuwa akizungumza na wafanyabiashara ambao ni wamiliki wa Hotel...

 

11 years ago

Mwananchi

Uteuzi mume, mke wabomoa chama

Sakata la Mwenyekiti wa Chama cha National League for Democracy (NLD), Dk Emmanuel Makaidi kudaiwa kufanya njama zilizofanikisha yeye na mkewe kuteuliwa wajumbe wa Bunge la Katiba, limechukuwa sura mpya baada ya kiongozi wa chama hicho Zanzibar kujiuzulu na kujivua uanachama.

 

10 years ago

Habarileo

Wabomoa mlango kwa ‘fatuma’, wateka albino

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Valentino MlowolaJESHI la Polisi mkoani hapa linawashikilia watu wanne, akiwemo baba mzazi, Emmanuel Shirinde (28) wa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Pendo Emmanuel ambaye aliporwa na watu wasiojulikana waliovamia nyumbani kwao.

 

5 years ago

Michuzi

JAFO AKERWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA NYUMBA YA DC DODOMA


Charles James, Globu ya Jamii

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Selemani Jafo ameelezwa kutoridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa nyumba ya Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi na kuagiza kuongezwa kwa nguvu kazi.

Jafo ametoa kauli hiyo leo alipofanya ziara ya ukaguzi wa nyumba hiyo ambayo inajengwa na Suma JKT na kuwaagiza kuongeza nguvu ili Mkuu huyo wa wilaya aweze kuhamia katika muda uliopangwa.

" Nikiangalia idadi ya mafundi hapa na tarehe ambayo mmesema ujenzi utakamilika Mei 7...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani