Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabomoa mlango kwa ‘fatuma’, wateka albino

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Valentino MlowolaJESHI la Polisi mkoani hapa linawashikilia watu wanne, akiwemo baba mzazi, Emmanuel Shirinde (28) wa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Pendo Emmanuel ambaye aliporwa na watu wasiojulikana waliovamia nyumbani kwao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Aokoa dereva kwa kukunja mlango wa gari

Mwanamume mmoja nchini Marekani alimuokoa dereva wa gari lililokuwa linateketea kwa kuukunja mlango wa gari hilo kwa mikono yake.

 

11 years ago

Mwananchi

Uteuzi mume, mke wabomoa chama

Sakata la Mwenyekiti wa Chama cha National League for Democracy (NLD), Dk Emmanuel Makaidi kudaiwa kufanya njama zilizofanikisha yeye na mkewe kuteuliwa wajumbe wa Bunge la Katiba, limechukuwa sura mpya baada ya kiongozi wa chama hicho Zanzibar kujiuzulu na kujivua uanachama.

 

9 years ago

Habarileo

CDA wabomoa nyumba 140 Dodoma

ZAIDI ya nyumba 140 mjini Dodoma zimebomolewa na Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) kutokana na wananchi kujenga kiholela katika maeneo yasiyoruhusiwa huku Jeshi la Polisi likilazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliokuwa wakileta fujo ikiwemo kufunga barabara kuu ya Dodoma – Singida.

 

10 years ago

Vijimambo

Real Madrid wako tayari kuvunja rekodi ya usajili kwa kumsajili mlinda mlango David De Gea

David De Gea
Real Madrid wako tayari kuvunja rekodi ya usajili kwa kumsajili mlinda mlango David De Gea toka klabu ya Man United usajili huu utavunja rekodi ya uhamisho iliyowekwa na kipa Gianluigi Buffon aliehamia Juventus toka Parma.Huku kukiwa na taarifa De Gea anafuraha kubaki na kikosi cha Manchester United na atasaini mkataba mpya .

Timu ya Liverpool imefikia makubaliano ya kumsajili kipa Guillermo Ochoa toka klabu ya Malaga kwa dau la £3milion ili kuwa mbadala wa Simon Mignolet ambae...

 

11 years ago

Michuzi

mpiganaji fatuma matulanga wa TBC alamba nondozzz china

 Mwandishi wa habari wa Shirika la Utangangazi la Tanzania (TBC) Fatma Matulanga akiwa mwenye furaha baada ya kuhitimu shahada ya uzamili katika uandishi wa Habari za Biashara Kimataifa (Global Business Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Tsinghua, kilichopo Beijing nchini China leo Ijumaa. Bi Matulanga ni miongoni mwa wahitimu 20 kutoka nchi 16 duniani, akiwa wa pekee kutoka bara la Africa katika darasa lake Fatma Matulanga akiwa mwenye furaha baada ya kuhitimu shahada ya uzamili katika...

 

10 years ago

Bongo Movies

Fatuma Makongoro (Bi Mwenda), Msanii aliyetukuka kwenye sanaa ya uigizaji Tanzania

Bi Mwenda ni mzaliwa wa Mara Wilaya ya Bunda kijiji cha Ikwizu Nyamuswa, ni mtoto wa Mtemi Makongoro, ambaye alikuwa rafiki na ndugu wa yamini na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Anasema katika maisha yake wakati yupo darasa la tano mpaka anamaliza alikuwa akiishi Ikulu jijini Dar es Salaam, na alihamishiwa Shule ya Msingi Kinondoni iliyo karibu na Mahakama ya Kinondoni. Wakati huo wenzake walikuwa wakisoma Shule ya Mwenge na kupelekwa na gari.

Bi Mwenda, anasema alijiingiza kwenye michezo...

 

10 years ago

Michuzi

SAFARI NGUMU YA MWANAHARAKATI FATUMA MISANGO MPIGANIA HAKI ZA WANAWAKE, WATOTO SONGEA

Fatuma Misango mwenye mtandio mweusi kichwani akizungumza na mmoja wa wanawake waliotendwa.-------------------------Mwandishi HANNAH MAYIGE, wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania – OUT, anaangazia safari ngumu ya mwanaharakati mwanamke mzaliwa wa Namtumbo,  Mratibu wa  Kituo cha wasaidizi wa sheria Songea, Bi. Fatuma Misango katika harakati za kupigania haki za wanawake, watoto na  kupinga ukatili wa kijinsia.
     “Mimi  naitwa  Fatuma  Misango,  ni Mratibu  wa  kituo  cha  wasaidizi  wa sheria ...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA RASMI UPIMAJI WA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI KWA AKINA MAMA HAPA NCHINI.

 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akizindua rasmi upimaji wa saratani ya  mlango wa kizazi wakati wa kilele cha siku ya wanawake duniani katika sherehe iliyofanyika katika uwanja wa Nyamagana huko Mwanza  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete mara baada ya kuzindua rasmi upimaji wa saratani ya mlango wa kizazi aliwakabidhi Waganga wakuu wa mikoa ya Mwanza, Iringa, Mbeya na Mara vifaa  vya kupima saratani hiyo. Pichani Mama Salma Kikwete...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani