CDA:uboreshaji miji upo kisheria
KAIMU Mkurugenzi wa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA)Pascas Mragili, amesema suala ya uboreshaji na mipango miji lipo kisheria. Mragili alitoa kauli hiyo jana alipokuwa akizungumza na wananchi wa maeneo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima28 Oct
CDA: Uboreshaji wa miji upo pale pale
KAIMU Mkurugenzi wa Mamlaka ya Ustawishaji wa Makao Makuu (CDA) Pascas Mragili amesema kuwa suala ya uboreshaji wa mjini na mipango miji lipo pale pale kwa kuwa ni jambo la...
11 years ago
Mwananchi10 Mar
Bodi Mipango Miji yaja na mkakati uboreshaji
11 years ago
Mwananchi16 May
CDA chupuchupu Ligi ya Mabingwa
10 years ago
Habarileo03 Sep
'CDA inawatesa wananchi, ivunjwe'
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi juzi alipata wakati mgumu kwenye mkutano baada ya wananchi na baadhi ya madiwani kukataa hoja zake mbele ya Rais Jakaya Kikwete. Hatua hiyo ya wananchi, ilikuja baada wa Mbunge wa Dodoma Mjini, David Malole (CCM) kusema Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) imekuwa ikifanya maonevu mengi kwa wananchi, ikiwemo kubomoa nyumba, makanisa kutaka ardhi irudi Manispaa.
10 years ago
Habarileo05 Sep
Mbivu, mbichi CDA Septemba 7
RAIS Jakaya Kikwete amewataka Watanzania kuwa na subira wakati suala la mgogoro kati ya Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) na wananchi linashughulikiwa.
10 years ago
Dewji Blog13 Sep
Pinda akutana na wadau wa CDA Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wadau wa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA) mjini Dodoma Sep 12,2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa wadau wa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA) wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza nao mjini Dodoma Sep 12,2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
9 years ago
Habarileo20 Dec
CDA wabomoa nyumba 140 Dodoma
ZAIDI ya nyumba 140 mjini Dodoma zimebomolewa na Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) kutokana na wananchi kujenga kiholela katika maeneo yasiyoruhusiwa huku Jeshi la Polisi likilazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliokuwa wakileta fujo ikiwemo kufunga barabara kuu ya Dodoma – Singida.
10 years ago
Daily News10 Sep
Dodoma meeting to deliberate CDA challenges
Daily News
Daily News
PRIME Minister, Mizengo Pinda is expected to chair a meeting to discuss challenges facing the Capital Development Authority (CDA) and residents, following a directive from President Jakaya Kikwete. The meeting is also expected to be attended by Dodoma ...
11 years ago
Habarileo04 Feb
CDA wavunja vibanda vya biashara
MAMLAKA ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) imebomoa vibanda vya biashara vilivyojengwa kando ya barabara katika maeneo ya Nkuhungu, Manispaa ya Dodoma.