Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema kuanza elimu ya mpigakura

Mbunge wa Ubungo, John Mnyika.CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kinatarajia kuzindua operesheni ya kutoa elimu ya mpigakura nchi nzima, itakayoitwa Mkoa kwa Mkoa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Wakati wa kutoa elimu ya mpigakura ni sasa

Jana tulichapisha habari katika ukurasa wa mbele, ambayo ililenga kutoa elimu ya mpigakura katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika baadaye mwezi ujao. Habari hiyo ilieleza kwa kifupi hatua nane muhimu ambazo wapigakura waliojiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura watapaswa kuzipitia kabla hawajakamilisha jukumu lao la kikatiba la kuwachagua viongozi wanaowataka.

 

9 years ago

Mwananchi

Wagombea Chadema wadai kunasa kadi feki za mpigakura

Dar es Salaam. Wagombea ubunge wa majimbo ya Kawe na Ubungo kwa tiketi ya Chadema, wamedai kubaini kadi 100 za wapigakura ambazo hazina taarifa.

 

10 years ago

Habarileo

Maadhimisho Wiki ya Elimu kuanza leo

MAADHIMISHO ya Wiki ya Elimu yanatarajiwa kuanza leo mkoani Tabora na yatafikia tamati yake Mei 8 mwaka huu, huku kaulimbiu yake ikiwa ni Haki ya elimu kwa wote ifikapo mwaka 2010.

 

10 years ago

GPL

MAONYESHO YA KWANZA KIMATAIFA YA ELIMU KUANZA DES 10 DAR

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tan Tred), Jacqueline Mneney, akizungumza jambo. Mkurugenzi Mtendaji wa Global Education Link, Abdulimalik Mollel, akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani)…

 

10 years ago

Michuzi

MAONYESHO YA KIMATAIFA YA ELIMU KUANZA DISEMBA 17-21, 2014 JIJINI DAR

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Education Link, Abdulimalik Mollel, akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani)
Kampuni ya Global Education Link (GEL) kwa kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Wizara ya Elimu na Ufundi pamoja na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade) wameandaa maonyesho ya kwanza ya kimataifa ya elimu (TIEE) yanayotarajiwa kufanyika Disemba 17 hadi  21 mwaka huu katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

Akizungumza jijini Dar es...

 

10 years ago

Habarileo

Mchakato wa urais Chadema kuanza Julai 20

Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman MboweCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza tarehe za wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kuchukua na kurejesha fomu, ambapo kwa nafasi ya Rais, zitatolewa Julai 20 na kurejeshwa Julai 25.

 

10 years ago

StarTV

CHADEMA kuanza ziara ya kuipinga Katiba.

Na Grace Semfuko,                     

                 

Dar Es Salaam.

 

 

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kitaanza ziara maalum katika mikoa yote Nchini ya kuhamasisha wananchi kuikataa katiba inayopendekezwa kwa madai haijakidhi maslahi ya watanzania.

 

Chama hicho kimesema ziara hiyo itaanza kwa awamu katika jumuia zake ambapo Oktoba 17 itaanzia na jumuiya ya wanawake BAWACHA chini ya Mwenyekiti wake Halima Mdee.

 

Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt Wilbroad Slaa amesema ziara hizo pia...

 

10 years ago

Dewji Blog

Chuo cha CBE kuanza kutoa shahada ya elimu katika masuala ya biashara

Picha na 1

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) Prof. Emanuel Mjema akizungumza  wakati  wa mkutano wa wadau na wataalam wa elimu kutoka Taasisi za Elimu, vyuo, walimu wa masomo ya Biashara wa shule za Sekondari  waliokutana kupitia Mtaala wa kufundishia mafunzo ya taaluma ya Ualimu katika Biashara leo jijini Dar es salaam. Picha na 2 Mkurugenzi wa Mafunzo ya awali wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Dkt. Esther Mbise akitoa ufafanuzi kwa wadau wa Elimu kuhusu uandaaji wa mtaala wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani