Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA kuhakikisha fedha za mrabaha zinawanufaisha wananchi

Mgombea ubunge jimbo la Tarime vijijini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA John Heche amesema kama wananchi watamchagua kuwa mbunge wa jimbo hilo atahakikisha wananufaika na pesa za mrabaha zinazotolewa kila mwaka na kampuni ya kuchimba madini ya ACACIA.

Amesema fedha hizo zitatumika kulipa pensheni kwa wazee wa jimbo hilo na kuhakikisha kila mmoja anakuwa na fursa sawa kuweza kupata fedha hizo za mrahaba zinazotolewa.

Heche amesema hayo wakati wa uzinduzi wa kampeni za...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA: Fedha za maendeleo haziwafikii wananchi

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa fedha zinazoidhinishwa na Bunge la Bajeti la Jamhuri ya Muungano kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shughuli za maendeleo ya wananchi...

 

11 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZZZ:MBUNGE WA CHADEMA AKAMATWA NA JESHI LA POLISI IRINGA AKITUHUMIWA KUGAWA FEDHA KWA WANANCHI

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa, Bi.Jesca Msavatavangu akizungumza na wanahabari jioni ya leo mara baada ya tukio hilo la kukamatwa kwa Mbunge wa CHADEMA akigawa fedha kwa wanakijiji siku moja kabla ya uchaguzi kufanyika. Uchaguzi wa Jimbo hilo unatarajiwa kufanyika kesho siku ya jumapili, ambapo wananchi wameombwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura.  Ikiwa imebaki siku moja kabla ya uchaguzi Mdogo wa Ubunge jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Manyara kupitia...

 

10 years ago

Habarileo

Ataka Serikali kuhakikisha uhuru wa habari kusaidia wananchi

Mwanahabari Nguli nchini, Jenerali Ulimwengu.MWANDISHI mkongwe Jenerali Ulimwengu alinyakua tuzo ya Utumishi Uliotukuka katika Tuzo ya Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kutokana na mchango wake katika tasnia ya habari na kukemea maovu bila woga kwa kutumia kalamu yake.

 

5 years ago

Michuzi

Zanzibar kuendelea kutekeleza sera kwa kuhakikisha wananchi wanapatiwa matibabu bure

Na Khadija  Khamis- Maelezo Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaendelea kutekeleza sera kwa kuhakikisha wananchi wanapatiwa matibabu bure pamoja na kuwasafirisha  Wagonjwa nje ya nchi.

Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa  Afya Hamad Rashid Mohamed huko Hospitali ya Rufaa Mnazi mmoja katika Wodi ya Wagonjwa wa Ngozi  .

Alisema Serikali haijashindwa kuwahudumia wananchi wake hivyo si vyema kuisambaza picha ya Mgonjwa katika mitandao ya kijamii kwa nia ya kutafuta  michango ya wafadhili...

 

11 years ago

Mwananchi

Halmashauri zagombania mrabaha

Halmashauri ya Wilaya ya Geita inadaiwa kugomea kuachia mrabaha na kodi ya huduma inayolipwa kila mwaka kwa halmashauri, inayolipwa na Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM).

 

11 years ago

Tanzania Daima

Migodi ya dhahabu yakusanya mrabaha tril. 2/-

JUMLA ya sh trilioni 2.07 zimekusanywa kama kodi na mrabaha kutoka kwa wamiliki wa migodi mikubwa ya dhahabu nchini. Fedha hizo ni sawa na asilimia 9.3 ya mapato yote ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Wachimbaji wadogo wakwepa kulipa mrabaha

 Serikali imesema leseni 15 tu kati ya 551 za wachimbaji wadogo kwenye eneo la Mirerani ndizo zimelipa mrabaha katika kipindi cha kuanzia 2010 hadi Machi 2014.

 

9 years ago

Mwananchi

Mawaziri simamieni vizuri fedha za wananchi

Ikiwa leo ni siku ya 37 tangu Rais John Magufuli aingie madarakani, wananchi wameshuhudia mambo kadhaa aliyofanya ambayo yamewapa mwanga na kuamini kuwa matatizo yao mengi ya msingi yatapatiwa ufumbuzi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wananchi walalamikia matumizi mabaya ya fedha

WANANCHI wilayani Bunda, mkoani Mara, wamelalamikia kitendo cha madiwani wa wilaya hiyo, kutumia fedha na kuunda tume ya watu watatu, akiwemo mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Joseph Malimbe, kwenda kumuona Katibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani