Halmashauri zagombania mrabaha
Halmashauri ya Wilaya ya Geita inadaiwa kugomea kuachia mrabaha na kodi ya huduma inayolipwa kila mwaka kwa halmashauri, inayolipwa na Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
Migodi ya dhahabu yakusanya mrabaha tril. 2/-
JUMLA ya sh trilioni 2.07 zimekusanywa kama kodi na mrabaha kutoka kwa wamiliki wa migodi mikubwa ya dhahabu nchini. Fedha hizo ni sawa na asilimia 9.3 ya mapato yote ya...
10 years ago
Mwananchi05 Nov
Wachimbaji wadogo wakwepa kulipa mrabaha
9 years ago
StarTV04 Sep
CHADEMA kuhakikisha fedha za mrabaha zinawanufaisha wananchi
Mgombea ubunge jimbo la Tarime vijijini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA John Heche amesema kama wananchi watamchagua kuwa mbunge wa jimbo hilo atahakikisha wananufaika na pesa za mrabaha zinazotolewa kila mwaka na kampuni ya kuchimba madini ya ACACIA.
Amesema fedha hizo zitatumika kulipa pensheni kwa wazee wa jimbo hilo na kuhakikisha kila mmoja anakuwa na fursa sawa kuweza kupata fedha hizo za mrahaba zinazotolewa.
Heche amesema hayo wakati wa uzinduzi wa kampeni za...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-o6pPnVMr3hE/VDP1vxVXa7I/AAAAAAAGohc/4tBDUAI3XAM/s72-c/unnamed%2B(91).jpg)
TMAA imeiwezesha Serikali kukusanya mrabaha wa jumla ya shilingi billioni 5.2
Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA) imeiwezesha Serikali kukusanya mrabaha wa jumla ya shilingi billioni 5.2 tangu kuanzishwa kwa wakala huo.
Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi uzalishaji na usafirishaji wa madini Bwn Conrad Mtui wakati wa ziara ya waandishi wa habari walipotembelea migodi ya Lugoba na Msolwa Chalinze, hivi karibuni.
“Wakala umefanikiwa kukusanya jumla ya shilingi bilioni 5.2 kutokana na madini hayo yaliyozalishwa na kuuzwa na...
10 years ago
StarTV28 Jan
Halmashauri Gairo yaidai Halmashauri Kilosa Sh. Mil. 253
Na Kasilda Mgeni Mulimila,
Morogoro.
Halmashauri ya wilaya Mpya ya Gairo mkoa Morogoro imeiangukia Serikali kuwasaidia kurejeshwa kwa fedha za mapato ya ndani zaidi ya shilingi milioni 250 ambazo zimechukuliwa na halmashauri mama ya wilaya ya Kilosa hali inayofanya Gairo kuonesha upungufu katika makusanyo ya ndani.
Halmashauri ya wilaya ya Kilosa imekuwa ikichukua mapato ya ndani ya halmashauri ya Gairo kupitia wakala wa kukusanya mapato walioingia mkataba na wilaya hiyo ya Kilosa kabla...