TMAA imeiwezesha Serikali kukusanya mrabaha wa jumla ya shilingi billioni 5.2
![](http://4.bp.blogspot.com/-o6pPnVMr3hE/VDP1vxVXa7I/AAAAAAAGohc/4tBDUAI3XAM/s72-c/unnamed%2B(91).jpg)
Na Georgina Misama-MAELEZO
Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA) imeiwezesha Serikali kukusanya mrabaha wa jumla ya shilingi billioni 5.2 tangu kuanzishwa kwa wakala huo.
Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi uzalishaji na usafirishaji wa madini Bwn Conrad Mtui wakati wa ziara ya waandishi wa habari walipotembelea migodi ya Lugoba na Msolwa Chalinze, hivi karibuni.
“Wakala umefanikiwa kukusanya jumla ya shilingi bilioni 5.2 kutokana na madini hayo yaliyozalishwa na kuuzwa na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog22 Jan
Balozi Seif Idd ashiriki harambee chuo cha CBE, afanikisha kukusanya shilingi milioni 540.8
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ally Idd akikabidhi mchango wake wa shilingi milioni 3 kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uongozi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Prof. Mathew Luhanga (katikati) kusaidia uboreshaji wa miundombinu ya chuo hicho jana usiku wakati wa harambee maalum ya ukusanyaji wa fedha iliyofanyika Hoteli ya Serena jijini Dar es salam.Kulia ni Mkuu wa Chuo hicho Prof. Emanuel Mjema.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ally Idd akisoma majumuisho...
10 years ago
Habarileo24 Aug
Tunduru wahimizwa kukusanya maduhuli ya serikali
OFISI ya Madini wilayani Tunduru mkoani Ruvuma, imetakiwa kutozembea na kusimamia ipasavyo ukusanyaji wa maduhuli na ulipwaji wa mirahaba, kwa kuwa sasa ofisi hiyo haijakusanya maduhuli hayo kwa kiwango cha kuridhisha.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-GV1sUJt3fTw/VVM2HzJdlsI/AAAAAAAHW_4/hTySQXsfQ44/s72-c/IMG_8451.jpg)
TTCL YATOA MSAADA WA KOMPUTA NA KIFURUSHI CHA INTERNET YENYE KASI YA 2MBPS VYENYE JUMLA YA SHILINGI MILIONI 20.169 KWA KITUO CHA GLOBAL OUTREACH TANZANIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-GV1sUJt3fTw/VVM2HzJdlsI/AAAAAAAHW_4/hTySQXsfQ44/s640/IMG_8451.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-xYmjox1BDmM/VVM2LHd9CHI/AAAAAAAHXAA/DR6Kqfgnt6Y/s640/IMG_8475.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-4TRJND79VHU/VVM2ORFYzcI/AAAAAAAHXAI/tcivf9S_vo8/s640/IMG_8492.jpg)
11 years ago
Mwananchi29 Jun
Serikali isiache mwanya katika kukusanya kodi
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-7GwUaOKoKvs/Xr6aJ0QnzlI/AAAAAAALqWg/VTimD9DfHPwAD8SwWvDMtDYZoXaj4XWXQCLcBGAsYHQ/s72-c/97dcc94a-538e-484e-abbb-f91eb432a7e8.jpg)
Serikali yapokea vifaakinga vya shilingi milioni 700/- kutoka serikali ya China
Msaada huo umetoleowa leo katika Bohari ya Dawa (Medical Stores Department) na kupokelewa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Prof. Mabula Mchembe.
Prof. Mchembe amesema kwamba msaada huo umekuja wakati mzuri kwani utawasaidia watumishi wa afya katika mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona...
10 years ago
Vijimambo31 Jul
SERIKALI YASAINI MKATABA WA KUKUSANYA ZAIDI YA SH. MILIONI 12 KUPITIA MAPATO YA NDANI
![FE1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/FE1.jpg)
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (kushoto) akisaini Mkataba wa Makubaliano ya kukusanya Sh. milioni 12,362,969 za mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2015/2016 hivi karibuni jijini Dar es salaam ambayo yanakusanywa kwa mara ya kwanza nchini. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bernard Mchomvu.
![FE2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/FE2.jpg)
10 years ago
Dewji Blog29 Jul
Serikali yasaini Mkataba wa kukusanya zaidi ya Sh. milioni 12 kupitia mapato ya ndani kwa mwaka 2015/16
Baadhi ya viongozi na watendaji wa Wizara ya Fedha na TRA wakati wa hafla ya kusaini Mkataba wa Makubaliano ya kukusanya mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2015/2016 ambayo yanakusanywa kwa mara ya kwanza nchini.(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO).
Na Eleuteri Mangi- MAELEZO
Serikaki imesainiana Mkataba wa Makubaliano ya kukusanya Sh. Milioni 12,362,969 za mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2015/2016 ambayo yanakusanywa kwa mara ya kwanza nchini.
Mkataba huo wa makubaliano umesainiwa leo...
10 years ago
Habarileo29 Apr
Serikali yaanza kudhibiti Shilingi
SERIKALI imesema imeshaanza kuchukua hatua za kudhibiti kuporomoka kwa kasi kwa Shilingi. Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Fedha Masoko wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Alexander Ng’winamila, alisema kamwe Serikali haiwezi kulikalia kimya suala hilo.
11 years ago
Mwananchi21 Feb
Halmashauri zagombania mrabaha
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10