Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA NUSURA WAMUUE CHENGE

Na Mwandishi Wetu
Kimenuka! Wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mjini Bariadi, Simiyu, juzi almanusra wayakatishe maisha ya mbunge wa jimbo hilo, Mheshimiwa Andrew Chenge (pichani) baada ya kuvamia msafara wake, hali iliyolazimu risasi zitumike kumuokoa.
Mh. Andrew Chenge Kwa mujibu wa habari zilizotua kwenye dawati la Uwazi Mizengwe, tukio hilo la aina yake, lilitokea mishale ya saa moja kasoro za jioni,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA wambomoa Chenge

CHAMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), kimemshukia Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge, (CCM), ambako kimevuna wanachama zaidi ya 50 wakiwemo viongozi wake wa vijiji watatu. Aidha, wananchi wa...

 

10 years ago

Habarileo

Chenge anusurika kipigo Chadema

MBUNGE wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge MBUNGE wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge juzi aliokolewa kwa risasi katika vurugu za kundi la wananchi, waliomvamia karibu na ofisi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Simiyu na kusababisha taharuki katika ofisi za chama hicho.

 

11 years ago

Michuzi

WAFUASI WA CCM,CHADEMA NUSURA WAZITWANGE MKUTANO WA NAIBU WAZIRI WA MAJI

 Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Idd Azzan wa CCM (KULIA), akiamulia ugomvi wa Diwani wa Kimara, Pascal Manota wa Chadema (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM, Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge waliotaka kuzichapa ulipotokea mzozo katika mkutano wa hadhara wa Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla katika Uwanja wa Shule ya Mavurunza, Kata ya Salanga, Jimbo la Ubungo, Dar es Salaam jana. Wafuasi wa CCM na Chadema wakitaka kuzipiga kavu kavu baada ya kutokea mzozo ambapo wanaCCM walikuwa wakimzomea...

 

10 years ago

Mwananchi

Risasi zarindima misafara ya Chenge, Chadema

Hali ya taharuki ilizuka juzi jioni na kusababisha watu kukimbia ovyo kutokana na kupigwa hewani risasi tatu baada ya misafara ya Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), John Chenge na Chadema kukutana mjini Bariadi, Simiyu

 

11 years ago

Dewji Blog

Wafuasi wa CCM,CHADEMA nusura wazitwange mkutano wa Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla

01

Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Idd Azzan wa CCM (KULIA), akiamulia ugomvi wa Diwani wa Kimara, Pascal Manota wa Chadema (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM, Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge waliotaka kuzichapa ulipotokea mzozo katika mkutano wa hadhara wa Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla katika Uwanja wa Shule ya Mavurunza, Kata ya Salanga, Jimbo la Ubungo, Dar es Salaam jana.

Na Mwandishi wetu

Jitihada za Mbunge wa Ubungo John Mnyika kuwazuia wananchi wasiendelee kumzomea Naibu waziri wa...

 

10 years ago

GPL

CHENGE, CHENGE, CHENGE TENA?

Makala: Ojuku Abraham
KAMA Mwalimu Julius Kambarage Nyerere angekuwa bado anatawala nchi hii, ni watu wachache sana wangeweza kulijua jina la Andrew Chenge, yule mwanasheria mkuu wa zamani wa serikali, aliyekaa katika ofisi hiyo kubwa na yenye heshima, kuanzia mwaka 1993 hadi 2005. Lakini katika nchi ambayo inaendeshwa kwa hila na dili, jina hili linajipatia umaarufu na kuenziwa, bila kujali ni kwa kiasi gani, Watanzania zaidi...

 

11 years ago

GPL

MREMBO NUSURA ABAKWE

Mrembo aliyevaa kivazi cha ajabu kilichoacha wazi sehemu zake nyeti akisaidiwa na wasamaria wema baada ya kuvaa khanga. Stori:  Issa Mnally na Richard Bukos
MREMBO wa haja ambaye jina halikupatikana amenusurika kubakwa na wanaume baada ya kuvaa kivazi kilichoacha wazi sehemu kubwa ya maungo yake nyeti.…

 

10 years ago

GPL

HAUSIGELI NUSURA AUAWE

Makongoro Oging’ na Shani Ramadhan
Msaidizi wa kazi za ndani (hausigeli), Rehema Ally (17), mkazi wa Yombo, Machimbo Mwisho, Ilala jijini Dar, amechanwachanwa kwa wembe na kisu sehemu mbalimbali za mwili wake, hali iliyosababisha alazwe katika Hospitali ya Amana kwa matibabu. Rehema Ally akiwa na majeraha mwilini mwake baada ya kujeruhiwa. Akizungumza na Uwazi nyumbani kwa mwajiri wake aliyejulikana kwa jina moja la...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbunge, Mkurugenzi nusura wazichape

Mbunge wa Viti Maalumu wa Chadema wa Mkoa wa Manyara, Paulina Gekul jana alilazimika kuokolewa na polisi wilayani hapa, kutokana na kushambuliwa na Mkurugenzi wa Halmashari ya Mji wa Babati, Omari Mkombole na Mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Mohamedi Fara, wakigombea kabrasha lenye majina ya wanaopaswa kupewa ardhi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani