Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema vijijini kwa helikopta

KATIKA jitihada za kuhakikisha kuwa Chadema kupitia vyama vinayounda Ukawa inashinda majimbo yote mkoani Rukwa kwa nafasi ya ubunge, wamejipanga kutumia usafiri wa helikopta kwa siku nne mfululizo ili kuwafikia wapigakura walioko vijijini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Chadema kurusha helikopta 10, kuandamana

MWENYEKITI wa Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA), John Heche, amesema chama hicho kinatarajia kurusha angani chopa 10 na kufanya maandamano nchi nzima kuishinikiza Serikali kufanya marekebisho ya Daftari la Kudumu la Wapigakura kabla ya zoezi la kura ya maoni ya Katiba mpya kuanza.

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema kutikisa nchi; Helikopta tatu kurushwa nchi nzima

>Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuanzia leo, kinarusha helkopta tatu kwa siku 14 mfululizo, katika  kutekeleza kampeni iliyopewa jina la Operesheni Pamoja Daima (ODB) itakayoendeshwa katika mikoa yote nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yaahidi kushinda Mbeya Vijijini

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Mbeya Vijijini, kimeahidi kutwaa ushindi mchana kweupe katika marudio ya uchaguzi wa udiwani kata ya Santilia. Akizungumza na Tanzania Daima jana, Katibu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Chadema Moshi vijijini warudisha fomu za kuwania ubunge na udiwani

Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Moshi vijijini,Godlisen Maramia akipokea fomu kutoka kwa Deogratius Mushi ya kuwania nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi vijijini wakati aliporudisha katika ofisi za chama hicho zilizopo Majengo. Mwenyekiti wa Chadema jimbo la Moshi vijijini ,Godlisen Maramia akimpongeza mtia nia Deuogratius Mushi kwa uamuzi wa kuingia katika kinya’ng’anyiri cha kuwania nafasi hiyo. Mushi akipongezwa na makada wengine wa Chadema waliofika kumsindikiza ofisnini hapo.

 

11 years ago

Habarileo

Polisi kufanya doria kwa helikopta Mwaka Mpya

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman KovaPOLISI Kanda Maalum ya Dar es Salaam imetangaza leo kufanya doria kwa kutumia helikopta ili kuangalia hali ya usalama katika jiji hilo katika sikukuu ya Mwaka Mpya.

 

9 years ago

Bongo5

Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe afariki dunia kwa ajali ya helikopta, abiria wote wamepoteza maisha

Mbunge wa jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe amefariki dunia baada ya helikopta aliyokuwa akiitumia kwaajili ya kampeni kupata ajali. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na meya wa manispaa ya Ilala, Jerry Silaa ambaye pia amempoteza baba yake kwenye ajali hiyo. “Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa rasmi kutoka kwa timu ya uokoaji imefanikiwa kufika eneo la […]

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE ATOA HESHIMA ZAKE ZA MWISHO KWA MAREHEMU DEO FILIKUNJOMBE NA WENZAKE WAWILI WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA HELIKOPTA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mgombea Urais wa tiketi ya CCM Dkt.John Pimbe Magufuli wakitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza ya aliyekuwa Mbunge wa Ludewa(CCM) Marehemu Deo Filikunjombe na wenzake wawili waliofariki katika ajali ya helikopta juzi katika pori la akiba la mbuga ya Selous. Marehemu aliagwa katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam Oktoba 17, 2015.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Mke wa Marehemu Bi Sarah Filikunjombe wakati wa kuaga mwili wa marehemu...

 

10 years ago

Bongo5

Msanii wa Kenya atumia tshs milioni 12 kukodi helikopta kuhudhuria hafla za mwanae na mdogo wake, Nairobi na Eldoret kwa siku 1

Muimbaji wa Kenya, Esther Akoth maarufu kama Akothee ambaye hivi karibuni alikuwa nchini Tanzania, ametumia shilingi 700,000 za Kenya ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 12 za Tanzania kuhudhuria hafla mbili ikiwemo ya mwanae wa kike zilizofanyika siku moja. Esther Akoth aka Akothee akiwa kwenye helikopta aliyokodi Akothee ambaye ni mkurugenzi wa kampuni ya Akothee […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani